Mbuna Senior
Member
- Aug 2, 2016
- 55
- 125
Imetokea usiku unaripoti leo mchanaHabari Wanabodi kuna ajali ya gari imetokea usiku wa kuamkia leo barabara kuu ya Kilwa eneo la Mkuranga kijiji cha Dundani ambapo semi la Dangote limegongana uso kwa uso na gari la Tanesco Mkuranga na kusababisha vifo kwa watu 4 sikufanikiwa kupata picha but poleni wafiwa na update zaidi atujulishe.
Madereva wa hicho kiwanda walikuwa na mgomo sasa sijui kama unaendelea kimya kimyaDangote wameanza
Hakua na bando la MBImetokea usiku unaripoti leo mchana
Hilo ni la kweli kabisa, na wamemtia hasara kubwa sana, na sio Tz, tu huko zambia kwenye kiwanda chake kilichopo ndola, ndio ilikuwa balaa vijana wamekufa sana kutokana na ajari, hadi serikali ya zambia ilibidi kuingilia kati, na kubaini tatizo ni madreva kutokuwa na sifa zinazotakiwa.Tatizo lake ni manyanyaso kwa madreva na ujira mdogo, hivyo wanaokubali wengi ni wale ambao hawana sifa sehemu nyingine!!angalia makampuni kama ya bakhresa, prime fuel, mount meru, alli star, kwanza dreva tu ukimuangalia anajielewa, nenda dangote, dreva amevua shati ni vulugu tupu, gari kama la vitani!!Naskia jamaa kwenye kiwanda chake ukienda kuomba kazi ya udereva huulizwi cheti wala kupimwa uzoefu, unapewa ndinga tu ukafie mbele!
Aisee !! Wawap huyoHabari mbaya sana. Wamefariki watatu, mmoja kapona ila ana hali mbaya. Namjua aliyesalimika. Kuweni makini barabarani.