Ajali ya Kibaha eneo la Kongowe imekata mawasiliano Morogoro road

Kama Una mpango wa kutumia Morogoro Road kwenda Chalinze na kuendelea ama Tanga Moshi na kuendelea tafadhali tumia Bagamoyo road maana Morogoro road imefungwa.. Magari yamejaa barabara zote mbili.. Old Morogoro rd na New Morogoro rd..
Ilikuwa ni ajali ya alfajiri pale maeneo ya Kongowe pale Howo tipper la mchanga lililokuwa linaelekea Dar lilipoacha site yake na kwenda kulivaa Tanker la mafuta lililokuwa linaelekea upande wa Chalinze

Kwa mwonekano Dereva wa Howo alisinzia na kuacha njia yake.. Usharp wa dereva wa Tanker uliokoa ajali kubwa maana alimkwepa Howo wasivaane uso kwa uso na Howo akajipigiza nyuma ya cabin barabara na wembamba wake ikabakisha upenyo mdogo sana
Imagine Howo liko full loaded mchanga. Tanker liko full loaded madura
Nilikuwa naelekea Mlandizi hivyo kufika Miembe saba tukaelekezwa na trafiki tupite mchepuko wa barabara ya zamani ambayo ni ya vumbi
Foleni ilikuwa ndefu lakini nikafanikiwa kuvuka Kongowe barabara ya Vumbi.. Kumbuka magari ya kutoka na kuingia Dar yote yakawa yanatumia njia hiyo

Ilikuwa kama bahati tu nimevuka kibonde cha Kongowe Sokoni semi inagongana na tipper nyingine barabara hiyo ya Vumbi..
Kule barabara kuu breakdown lililokuja kusaidia kuyatoa yale magari nalo likafia kidondani hapo hapo eneo la ajali😂😂

Niko Mlandizi muda huu gari zinageuza na kutumia mchupuko wa Mlandizi Bagamoyo.. Ikinipendeza leo sirudi Dar.. Barabara imefungwa🥱View attachment 3276185
Duuu! Hatari sanaa
 
Yaani hii njia imekuwa na majini mengi sana. Yaani sintosahau nilivyokuwa likizo yangu nilirudi Tanzania, nililala njiani nikitokea mkoani, yaani hii barabara balaa
Ulirudi Tanzania, ukalala njiani ukitokea mkoani!
Basi sawa.
 
Kama Una mpango wa kutumia Morogoro Road kwenda Chalinze na kuendelea ama Tanga Moshi na kuendelea tafadhali tumia Bagamoyo road maana Morogoro road imefungwa.. Magari yamejaa barabara zote mbili.. Old Morogoro rd na New Morogoro rd..
Ilikuwa ni ajali ya alfajiri pale maeneo ya Kongowe pale Howo tipper la mchanga lililokuwa linaelekea Dar lilipoacha site yake na kwenda kulivaa Tanker la mafuta lililokuwa linaelekea upande wa Chalinze

Kwa mwonekano Dereva wa Howo alisinzia na kuacha njia yake.. Usharp wa dereva wa Tanker uliokoa ajali kubwa maana alimkwepa Howo wasivaane uso kwa uso na Howo akajipigiza nyuma ya cabin barabara na wembamba wake ikabakisha upenyo mdogo sana
Imagine Howo liko full loaded mchanga. Tanker liko full loaded madura
Nilikuwa naelekea Mlandizi hivyo kufika Miembe saba tukaelekezwa na trafiki tupite mchepuko wa barabara ya zamani ambayo ni ya vumbi
Foleni ilikuwa ndefu lakini nikafanikiwa kuvuka Kongowe barabara ya Vumbi.. Kumbuka magari ya kutoka na kuingia Dar yote yakawa yanatumia njia hiyo

Ilikuwa kama bahati tu nimevuka kibonde cha Kongowe Sokoni semi inagongana na tipper nyingine barabara hiyo ya Vumbi..
Kule barabara kuu breakdown lililokuja kusaidia kuyatoa yale magari nalo likafia kidondani hapo hapo eneo la ajali😂😂

Niko Mlandizi muda huu gari zinageuza na kutumia mchupuko wa Mlandizi Bagamoyo.. Ikinipendeza leo sirudi Dar.. Barabara imefungwa🥱View attachment 3276185
Barabara ya morogoro road kuanzia kimara hadi chalinze kuna wachawi pande zote za barabara njia nzima .Wanawanga barabarani mchana kweupe ndio maana ajali nyingi
 
Niko Mlandizi muda huu gari zinageuza na kutumia mchupuko wa Mlandizi Bagamoyo..

Hivi hali ya hii barabara kwa sasa ikoje?

Ni miaka mingi sana nimepita hicho kipande...
 
Back
Top Bottom