Ajali ya Kibaha eneo la Kongowe imekata mawasiliano Morogoro road

Duuu! Hatari sanaa
 
Yaani hii njia imekuwa na majini mengi sana. Yaani sintosahau nilivyokuwa likizo yangu nilirudi Tanzania, nililala njiani nikitokea mkoani, yaani hii barabara balaa
Ulirudi Tanzania, ukalala njiani ukitokea mkoani!
Basi sawa.
 
Barabara ya morogoro road kuanzia kimara hadi chalinze kuna wachawi pande zote za barabara njia nzima .Wanawanga barabarani mchana kweupe ndio maana ajali nyingi
 
Niko Mlandizi muda huu gari zinageuza na kutumia mchupuko wa Mlandizi Bagamoyo..

Hivi hali ya hii barabara kwa sasa ikoje?

Ni miaka mingi sana nimepita hicho kipande...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…