Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 7,672
- 9,039
kwa Neema na Baraka za Mungu,Japo bado tunaombeleza, tunapaswa kuanza kutafuta suluhu ya mabalaa kama haya ambayo nimekuwa nikiyasikua huko kwa majirani zetu Kenya, India na hata Nigeria.
Sasa yametufika. Kwanza, nani alaumiwe baina ya wenye nyumba na serikali? Pili, nini dawa ya tatizo hili? Je tutegemee mengine kama haya?
Jengo huwa kuna muda linataka kubomoka? Acha upumbavu.Ajali Haina Kinga yapo tahadhari zichukuliwe. Nchi zilizoendelea majengo yanabomoka pia , Tanzania Ina Nini mpka yasibomoke.
Nguvu ielekezwe kwenye uokoaji , watu wasiwe wazembe katika uokozi, vifaa vya kisasa lakini kulaumiana kisa kubomoka jengo hata lingejengwa kwa uimara gani, likitaka kubomoka linabomoka tu.
Jengo huwa kuna muda linataka kubomoka? Acha upumbavu
Kwa upande wangu wakulaumiwa n wamiliki wa majengo na mafundiJapo bado tunaombeleza, tunapaswa kuanza kutafuta suluhu ya mabalaa kama haya ambayo nimekuwa nikiyasikua huko kwa majirani zetu Kenya, India na hata Nigeria.
Sasa yametufika. Kwanza, nani alaumiwe baina ya wenye nyumba na serikali? Pili, nini dawa ya tatizo hili? Je tutegemee mengine kama haya?
Soma Pia: Live Updates Kuporomoka kwa Ghorofa Kariakoo Nov 16: Watu 7 wengine waokolewa