Ajali ya Meli: Watu wanne wahofiwa kuzama, watu kumi waokolewa

Kulikuwa na ulazima wowote kwa meli hiyo kufanya safari yake usiku wa manane .??

Pole nyingi kwa familia zilizo poteza wapendwa wao, majeruhi, Mwenyezi Mungu awatie nguvu na kuwaponya haraka.
Ndo mida ya Meli hio, na Meli hazikimbii Sana kama speed boat so Mda wowote itakaondoka usiku unawahusu Tu.
 
Tani 800 ni Mifuko Elfu 16.
Sahihi kabisa mkuu.
Semi moja inabeba tani 30/32, yaani kilo 32,000.
Kama mfuko mmoja wa sementi ni kilo 50.
Maana yake semi moja itakula mifuko 640 ya sementi.
Hivyo zilihitajika semi 25, kupakia mifuko elfu 16 kwenye meli hiyo.
Mzigo wote upo kwenye sakafu ya bahati hivi tunavyoongea.
 
Poleni sana

ila tungepata picha ya hiyo meli muonekano ingekuwa vizuri zaidi

Ova
 
Wanaume wenzetu wamepitia, huwezi kusikia wanawake
 
Siku moja nipo wete pemba niliiona boat ya cement imetia nanga kwenye gati, nikataka kupanda jamaa wapiga debe wakakaza mwisho wa siku nikapanda Mashua mpk Tanga.
Turudi kwenye mada, Usafiri wa majini kwa Nchi yetu bado sana sababu unaweza panda Fast boat lkn idadi ya life jacket ni ndogo sana ukilinganisha na idadi ya watu. Sasa boat ya Cement imeshindwa kuweka life jacket kwa ajili ya wafanyakazi wao na hapa ndio utaona maboss wa hizi Nchi masikini pia wana Roho mbaya vibaya sana kazi kubwaa ujira mdogo na bado maslahi hayaeleweki.
 
Asante kwa taarifa,japo mie sio mtaalamu lakini nahisi mambo 2:
1.pre inspections prior to departure haikufanyika.
2.routine inspection kutokufanyika
 
Kushindw kuwaokoa wote wa 14 nazan kuna mapungufu au ni wao walichelewa kutoa taarfa maana kuna bandari karbu na distance kutok bandar zote 4 sio mbali
 
MT TOM EMMA

TORM EMMA
TORM EMMA (IMO: 9592680) is a Oil Products Tanker and is sailing under the flag of DENMARK. Her length overall (LOA) is 228 meters and her width is 32.27 meters.

Ship's current position is 004° 06' 36" S / 048° 44' 30" E. The ship is proceeding from Tanga, Tanzania to Singapore, Singapore
Flag : Denmark
Where is the ship?

Oil Products Tanker TORM EMMA is currently located in the East Africa (reported 2 days, 2 hours ago)
 
Zanzibar ndiko zinasajiliwa meli mbovu au zinazokamatwa nje ya nchi kwa mqkosa mbalimbali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…