With due respect umri want ukizidisha Mara mbili ndo namfikia Zito and aim a member of the Noble Professional, I think you know what we do, my contribution to the building of this is not questionable by any how!Wewe hadi umri huo wa uzeeni umeifanyia nini Tanzania???
Na wewe uko busy JF kuandika upupu wakati vijana wa umri wako Europe wapo busy kubuni vitu vya msingi kwa ajiri ya Nchi zaoHakuna wa kumzuru huyu, lakini anachokifanya ni kutumia huu msiba kuiprovoke Serikali ili aakamatwe and it is for his own gain, political stunts, and nothing else, vijana wa umri wake Europe wapo busy kubuni vitu vya msingi kwa ajiri ya Nchi zao, yeye yupo busy kuitumia elimu yake na akili yake kupigania Maslahi ya tumbo lake!
Weee yaani unawafananisha hao na Zitto are they decision makers Kama Zitto? Hv hebu nieleze Zitto analipwa mshahara na Serikali kwa sababu gani!?Kama hoja ni kulipwa mshahara na serikali vipi walimu,manesi, madaktari, wao wamehusikaje katika hii ajali? Mkuu ungejenga hoja nzuri kumpinga zzk si kihoja hiki cha kulipwa mshahara na serikali maana hata madereva wa serikali nao wanalipwa na serikali japo sioni kwa vipi wanahusika na hii ajali.
Wewe hapa JF nakuja Mara chache Sana just kuwapanua akili Ndezi Kama wewe, Zitto ni mkubwa kwangu almost two times but just know iam a member of the Noble Professional, the only Professional that can question all other profession, you know what we do, so my contribution to this Land is not questionable by any how.Na wewe uko busy JF kuandika upupu wakati vijana wa umri wako Europe wapo busy kubuni vitu vya msingi kwa ajiri ya Nchi zao
Sijui hata ni kujibu Nini, anyways utapia mlo haujawahi kumuacha mtu salama, baada ya happy ndo umejikakamua!akili yako ipo sawa na huyo aliyepo kwenye picha yako.
Katika yote aliyoeleza zito hapo kuna jambo lolote la uongo? Kuna la kutunga?
Pathetic Tanzanian
Kama ni makosa ya Serikali Zitto anajiepushaje nayo, kwani Zitto siyo sehemu ya Serikali?Utetezi wa kijinga sana, serekali inakusanya nauli ya abiria zaidi ya 101 wanaopaswa kuwepo chomboni, ww unasema Zitto anapigania tumbo lake!?
Wewe ndo akili yako mfilisi angalia nilichoandika na Kama una uwezo wa kuargue try me, sio unabwabwaja tu hapa!Hii ni personal attack akili mufilisi .badala ya kujadili hoja iliyo tolewa na Zito .hivi mtu utakufa ukijibu hoja kwa hoja !!?? Yaani sijui shetani gani katujazia ghafla malembukeni tz [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Kama ni makosa ya Serikali Zitto anajiepushaje nayo, kwani Zitto siyo sehemu ya Serikali? hivi wewe utakuwa mjinga hadi lini!?
Sasa Kama ni msimamizi na mshauri wa Serikali, halafu hiyo serikal anayoisimamia na kuishauri imefanya madudu, hivi huyu msimamizi na mshauri anawezaje kukwepa madudu hayo, bro hivi huoni akili yako ilivofupi, na hupaswi hata kuwa member wa jukwa Hili tukufu, mkuu naomba nikuulize tena swali Zitto maisha yake anayaendesha kwa Kodi zetu sisi watanzania, ninachoomba unijibu kinachofanya Zitto alipwe hizo stahili zote wakati wewe na wenzako wengi mnasaga Lumba ni Nini!? Kama huwezi kujibu hili swali basi iwe Mara ya kwanza na ya mwisho kujaribu kuargue na Mimi kwa sababu nitakiwa nakuonea not my level, tafta MEMKWA wenzako!Acha utoto ww, Zitto sio mtumishi wa serekali bali wa umma. Umewahi kuona Zitto akitoa amri kwa vyombo vya dola zaidi ya kuisimamia na kuishauri serekali?
Nahodha kamkabidhi Chombo day worker Waziri anahusikaje?
Ewe ndugu (kwa heshima nyingi nilizo nazo sitakuita Mpumbavu), kwani wewe unatumia muda wako kufanya nini? Zitto ameifanyia nchi hii mambo makubwa kuliko Magufuli...sasa ulitaka asihoji?Hakuna wa kumzuru huyu, lakini anachokifanya ni kutumia huu msiba kuiprovoke Serikali ili aakamatwe and it is for his own gain, political stunts, and nothing else, vijana wa umri wake Europe wapo busy kubuni vitu vya msingi kwa ajiri ya Nchi zao, yeye yupo busy kuitumia elimu yake na akili yake kupigania Maslahi ya tumbo lake!
Umeona eeeh!,comment yako ni bora kabisa siku ya leo kwangu,you made my day
hiviiii... wale polisi wa doria ziwani huwa nao wanafanyaje doria gizani... ??Ajali ya Mv Nyerere: Kangi, Jenista na Kamwelwe Bado mawaziri?
Ni masikitiko makubwa kwamba, Serikali ya wanyonge imeokoa mtu mmoja, wakati wananchi wenyewe wameweza kuokoa watu 40..... hii ni aibu kubwa sana. Watu 225 wamepoteza maisha sababu ya uzembe.
Tuache kujidanganya na mapenzi ya Mungu. Mungu katupa akili, namna ya kuzitumia ni sisi wenyewe. Huwezi kupata Habari ya ajali saa nane mchana halafu ukaitisha Kamati ya Usalama mkoa saa 11 jioni ( yaani mwendo wa Dreamliner Dar-Mwanza mara 4 ). Rais naye hakuitisha Cabinet ya dharura wala Baraza la Ulinzi na Usalama Taifa kuratibu uokoaji. Uokoaji unasitishwa sababu ya GIZA? Tukihoji mnasema tunaleta Siasa? Nonsense!
Kwa nchi zilizoendelea Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Waziri wa Ujenzi na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu walitakiwa wawe wamekwishafutwa kazi au wamejiuzulu wenyewe.
Miaka 57 baada ya uhuru...Jeshi la uokozi linapoishia kuwa jeshi la UOPOZI, ni wakati wa rafiki nyangu Kangi Lugola kupumzika. Waziri Kamwelwe, Jenista na Mkuu wa Mkoa wa Mwanza wanapaswa kufukuzwa kazi mara moja. Bahati mbaya sana Rais amechoka na hivyo hajali tena. Wazembe Ndio wameongoza mazishi ya ndugu zetu leo.
South Korean prime minister resigns over ferry sinkingAjali ya Mv Nyerere: Kangi, Jenista na Kamwelwe Bado mawaziri?
Ni masikitiko makubwa kwamba, Serikali ya wanyonge imeokoa mtu mmoja, wakati wananchi wenyewe wameweza kuokoa watu 40..... hii ni aibu kubwa sana. Watu 225 wamepoteza maisha sababu ya uzembe.
Tuache kujidanganya na mapenzi ya Mungu. Mungu katupa akili, namna ya kuzitumia ni sisi wenyewe. Huwezi kupata Habari ya ajali saa nane mchana halafu ukaitisha Kamati ya Usalama mkoa saa 11 jioni ( yaani mwendo wa Dreamliner Dar-Mwanza mara 4 ). Rais naye hakuitisha Cabinet ya dharura wala Baraza la Ulinzi na Usalama Taifa kuratibu uokoaji. Uokoaji unasitishwa sababu ya GIZA? Tukihoji mnasema tunaleta Siasa? Nonsense!
Kwa nchi zilizoendelea Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Waziri wa Ujenzi na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu walitakiwa wawe wamekwishafutwa kazi au wamejiuzulu wenyewe.
Miaka 57 baada ya uhuru...Jeshi la uokozi linapoishia kuwa jeshi la UOPOZI, ni wakati wa rafiki nyangu Kangi Lugola kupumzika. Waziri Kamwelwe, Jenista na Mkuu wa Mkoa wa Mwanza wanapaswa kufukuzwa kazi mara moja. Bahati mbaya sana Rais amechoka na hivyo hajali tena. Wazembe Ndio wameongoza mazishi ya ndugu zetu leo.
Baring in mind we don't like bullets!..I can smell fish
..take care of your safety chief
ZZK you make a lot of sense kudosAjali ya Mv Nyerere: Kangi, Jenista na Kamwelwe Bado mawaziri?
Ni masikitiko makubwa kwamba, Serikali ya wanyonge imeokoa mtu mmoja, wakati wananchi wenyewe wameweza kuokoa watu 40..... hii ni aibu kubwa sana. Watu 225 wamepoteza maisha sababu ya uzembe.
Tuache kujidanganya na mapenzi ya Mungu. Mungu katupa akili, namna ya kuzitumia ni sisi wenyewe. Huwezi kupata Habari ya ajali saa nane mchana halafu ukaitisha Kamati ya Usalama mkoa saa 11 jioni ( yaani mwendo wa Dreamliner Dar-Mwanza mara 4 ). Rais naye hakuitisha Cabinet ya dharura wala Baraza la Ulinzi na Usalama Taifa kuratibu uokoaji. Uokoaji unasitishwa sababu ya GIZA? Tukihoji mnasema tunaleta Siasa? Nonsense!
Kwa nchi zilizoendelea Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Waziri wa Ujenzi na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu walitakiwa wawe wamekwishafutwa kazi au wamejiuzulu wenyewe.
Miaka 57 baada ya uhuru...Jeshi la uokozi linapoishia kuwa jeshi la UOPOZI, ni wakati wa rafiki nyangu Kangi Lugola kupumzika. Waziri Kamwelwe, Jenista na Mkuu wa Mkoa wa Mwanza wanapaswa kufukuzwa kazi mara moja. Bahati mbaya sana Rais amechoka na hivyo hajali tena. Wazembe Ndio wameongoza mazishi ya ndugu zetu leo.
Ajali ya MV Nyerere imeonesha udhaifu mkubwa wa staili ya uongozi wa JPM. inaonekana katika serikali hii, viongozi ni waoga, wanasubiri ama maagizo kutoka juu, ama kuwe na mawasiliano kwanza na "ngazi za juu" kabla ya kufanya hata kile ambacho ni wajibu wao. kwamba yalipita masaa 4 kabla ya serikali kuzinduka na kuanza kumobilise "uokoaji", ni ushahidi tosha kwamba serikali yetu ni ya mtu mmoja. na kwa bahati mbaya mtu huyo mmoja huwa ana ALEJI na ajali na misiba.Ajali ya Mv Nyerere: Kangi, Jenista na Kamwelwe Bado mawaziri?