Ajali ya MV Nyerere: Kangi, Jenista na Kamwelwe bado Mawaziri?

Atakaye kuwa na hali hati ya kuondloewa ni jenista tuu anatoka kusini
 
Endeleeni na upumbavu wenu kunywa chai na traffic on live TV wakati watu wanaendelea na mazishi huko Ukara, na ajabu mlitangaza kuwa nchi iko kwenye maombolezo, enyi majitu majinga kweli yani!
 
Ni Kiongozi si kiongozi!?
Kiongozi, sifa mmoja ya discussion za humu ni kwamba somehow mtaelewana at some point hata kama mko na mitazamo tofauti. Ila vijana wa yule mwalimu wa hisabati aitwaye polepole wanapenda sana kuwa "equidistant" na wengine. Kwa hiyo kama hauna mpango wa kuelewa huko mbele, tuendelee na mambo mengine. 'Parallel lines have so much in common. It's a shame they will never meet!
 
Nchi zilizoendelea, ok wewe zitto tangu umekuwa mbunge ni nini umelifanyia taifa hili kama wabunge wa nchi zilizoendelea.
Na unakubali hii nchi si miongoni mwa nchi zilizoendelea so what!
 
Ila katika historia ya nchi hii sijawah kusikia watu wanaahirisha kuokoa watu kwa sababu ya Giza, yani ni kama unamwacha mgonjwa wazi operation room unaenda home kulala utarudi kuoperation tena kesho, labda kwa sababu tumeshachukulia swala la vifo kwenye maziwa na bahari swala la kawaida sanaa,
 
Tusibishane mkuu wakati binadamu wenzetu wngine wamekufa! Jiulize, kikao hicho cha saa 11 jioni hivi wakati wanajadiriana namna ya kwenda kuokoa, suala la TAA halikuongelewa kabisa!? Na kama liliongelewa, nini ulikua mwafaka!? Walishindwa nini kwenda kuazima light plants kwenye migodi iliopo karibu kama Geita na Acacia!? Chopper za kupeleka waheshimiwa zipo, taa tu ambacho ni kitu kidogo sana, HAKUNA. Tusijaribu kutetea UJINGA; muungwana akikosea husema tu, "sorry"
 
It is easier said than done,that is all I can say for the time being.Na ni kweli,tusibishane.
 
Huna issue bro! Tunakufahamu vyema na wala sidhani kama kuna anaekusikiliza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…