D dos.2020 JF-Expert Member Joined Feb 17, 2009 Posts 11,880 Reaction score 10,372 Jun 12, 2024 #161 Ed Kawiche said: Daah! Umeongea kwa unyonge kuendana na habari husika! Madereva wa mwendokasi wakiwa na utu ajali zitapungua. Click to expand... Jamaa ni washenzi sana
Ed Kawiche said: Daah! Umeongea kwa unyonge kuendana na habari husika! Madereva wa mwendokasi wakiwa na utu ajali zitapungua. Click to expand... Jamaa ni washenzi sana
B Benderea JF-Expert Member Joined May 25, 2021 Posts 686 Reaction score 1,303 Jun 12, 2024 #162 DEereva wa mwendokasi hana kinga ! Labda askari wamuachie
Msanii Platinum Member Joined Jul 4, 2007 Posts 25,252 Reaction score 36,513 Jun 13, 2024 Thread starter #163 Tangawizi said: Tuache kudanganyana. Kuna gharama zingine ni za ujuaji wetu. Hatuheshimi kabisa sheria na taratibu. Tunajidanganya tumezaliwa mjini. Ila tunasahau pia ujanja wa kilofa, tunafia hapa hapa mjini Click to expand... Review ulichoandika
Tangawizi said: Tuache kudanganyana. Kuna gharama zingine ni za ujuaji wetu. Hatuheshimi kabisa sheria na taratibu. Tunajidanganya tumezaliwa mjini. Ila tunasahau pia ujanja wa kilofa, tunafia hapa hapa mjini Click to expand... Review ulichoandika