Ajali ya Ndege na Cheti Feki

Ajali ya Ndege na Cheti Feki

Kijakazi

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2007
Posts
7,093
Reaction score
10,469
Walipotimuliwa wenye vyeti feki mliita ukatili, sasa mnazika na kuuguza kwa simanzi baada ya wenye vyeti feki kurudishwa kazini na siajabu kuendelea kuajiriwa, nani anajua kama marubani, wahudumu wa kwenye ndege mpaka waokoaji kama kweli walihitimu mafunzo au waliiba na kufoji vyeti?

Mungu ndio anayejua, watu wanaangamia kwa kukosa maarifa, nchi haijengwi kwa lelemama, ni kazi tu na weledi.

BTW. CCM waliagiza askari waondolewe barabarani, eti wanasumbua madereva mlishangilia.
 
Walipotimuliwa wenye vyeti feki mliita ukatili, sasa mnazika na kuuguza kwa simanzi baada ya wenye vyeti feki kurudishwa kazini na kuzidi kuajiriwa, Nani anajua kama marubani, wahudumu wa kwenye ndege mpaka waokoaji kama kweli walihitimu mafunzo au waliiba na kufoji vyeti?

Mungu ndio anayejua, watu wanaangamia kwa kukosa maarifa, nchi haijengwi kwa lelemama, ni kazi tu na weledi.

BTW CCM waliagiza askari waondolewe barabarani, wanasumbua madereva mlishangilia, …
Ujinga hauna umri... kikosi cha mwenda zake.
 
Lini wenye vyeti feki wamerudishwa kazini zaidi ya kutakiwa kulipwa michango yao kutoka mifuko ya hifadhi ya wafanyakazi?Au nilisafiri kwenda Gabon?
 
Walipotimuliwa wenye vyeti feki mliita ukatili, sasa mnazika na kuuguza kwa simanzi baada ya wenye vyeti feki kurudishwa kazini na kuzidi kuajiriwa, Nani anajua kama marubani, wahudumu wa kwenye ndege mpaka waokoaji kama kweli walihitimu mafunzo au waliiba na kufoji vyeti?

Mungu ndio anayejua, watu wanaangamia kwa kukosa maarifa, nchi haijengwi kwa lelemama, ni kazi tu na weledi.

BTW CCM waliagiza askari waondolewe barabarani, wanasumbua madereva mlishangilia, …
Huwa unatumia akili kufikiria?
Rudia kusoma takataka ulizoandika, unaweza gundua ujinga wako.
 
Walipotimuliwa wenye vyeti feki mliita ukatili, sasa mnazika na kuuguza kwa simanzi baada ya wenye vyeti feki kurudishwa kazini na kuzidi kuajiriwa, Nani anajua kama marubani, wahudumu wa kwenye ndege mpaka waokoaji kama kweli walihitimu mafunzo au waliiba na kufoji vyeti?

Mungu ndio anayejua, watu wanaangamia kwa kukosa maarifa, nchi haijengwi kwa lelemama, ni kazi tu na weledi.

BTW CCM waliagiza askari waondolewe barabarani, wanasumbua madereva mlishangilia, …

Straight away from kaburini huu ubongo wako una funza nyingi mnoooooo….!!!!
 
Huyo muacheni jaman,ana msongo uliopitiliza wa kukosa ajira....usikute kashasambaza sn bahasha za cv bila majibu
 
Walipotimuliwa wenye vyeti feki mliita ukatili, sasa mnazika na kuuguza kwa simanzi baada ya wenye vyeti feki kurudishwa kazini na kuzidi kuajiriwa, Nani anajua kama marubani, wahudumu wa kwenye ndege mpaka waokoaji kama kweli walihitimu mafunzo au waliiba na kufoji vyeti?

Mungu ndio anayejua, watu wanaangamia kwa kukosa maarifa, nchi haijengwi kwa lelemama, ni kazi tu na weledi.

BTW CCM waliagiza askari waondolewe barabarani, wanasumbua madereva mlishangilia, …
Mkuu wewe una stress gani?
 
Ajali haina adabu hutokea hata kwa wenye vyeti bora.Tushukuru Mungu kutuachia masalia ili watambue kuwa Mungu yupo na anatuangalia kwa huruma jinsi tuvyohangaika na mengine kiasi cha kumsahau yeye
 
Walipotimuliwa wenye vyeti feki mliita ukatili, sasa mnazika na kuuguza kwa simanzi baada ya wenye vyeti feki kurudishwa kazini na kuzidi kuajiriwa, Nani anajua kama marubani, wahudumu wa kwenye ndege mpaka waokoaji kama kweli walihitimu mafunzo au waliiba na kufoji vyeti?

Mungu ndio anayejua, watu wanaangamia kwa kukosa maarifa, nchi haijengwi kwa lelemama, ni kazi tu na weledi.

BTW CCM waliagiza askari waondolewe barabarani, wanasumbua madereva mlishangilia, …
Hebu tulia
 
Rubani afoji cheti!!!!........andika jingine.
 
Precion air sio kampuni ya umma,wenye vyeti feki walifukuzwa serikalini,
 
Back
Top Bottom