Ajali ya Ndege na Cheti Feki

Misukule ya lile pepo linaloteseka kuzimu mnazidi kutujazia upuuzi wenu humu, kama vipi kunyweni sumu mumfuate.
 
ulishawahi kupanda ndege?
usichokijua ni kwamba ndege siyo bajaji kwamba kila mtu anaweza kuruka.
wewe njoo na ngonjera zako nyingine za kujifurahisha usiingize vyeti feki kwenye URUBANI
siyo vizuri sana kuongea vitu usivyo vijua
 
Kila kitu kinawezekana Tanzania, kwa kawaida ndege huwa inaelea majini karibia kama Meli, sasa nini kilichowaua? Nani alifungua mlango wa ndege? Na kwa nini? Kama kweli watu wana vyeti sahihi vya taaluma?
ndege haziendeshwi kama bajaji mkuu. tuache mihemko na kuongea mambo tusiyo yajua hapa. unarusha ndege na ukubwa wake kulingana na masaa uliyoaruka angani.vyeti feki haviingii hapo
ukija kwenye tukio la ndege la bukoba..... kabla hujatengeneza hisia mbaya kwa rubani jiulize yule MAJALIWA aliyeokoa ndege anajua chochote kuhusu uokoaji wa kwenye ndege? kama hajui kwanini asivunje na kufungua milango kwa njia azijuazo yeye?
 
fuatilia ile ajali vizuri tangu ndege inazama mpaka majaliwa anafika pale. fuatilia background ya majaliwa kama hata anajua physics ninini?
 
Majibu yanamtosha au kuna mwenye nyongeza huko nyuma?......
 
Baada ya kuona Picha, nimeomba msamaha kusamehewa kwa kutokujua kilichoendelea, Mungu akubarikia na awabariki wote!
Jitahidi sasa upunguze mihemko, ili usije kuonekana kituko tena wakati mwingine.
 
k
Nimefuta na kujutia niliyoandika baada ya kuona picha ya ndege hapa JF, ee Mungu nisamehe kwa kuhukumu nisichokielewa, nawaomba msamaha wote waliokumbwa na hili janga, Amina!
kabla hujamuomba muumba msamaha hembu tusaidie kidogo juu ya wenye vyeti feki
umesema wamerudishwa? wapi yaani kwenye idara gani walirudishwa?
unaweza kututajia idadi ya watu wenye vyeti feki waliorudishwa?
usisahau kututajia viwango vya elimu zao, jinsia nk
mwisho chanzo chako cha taarifa kwamba wenye vyeti feki wamerudishwa
asante
 
Magu is dead for good!
Hatatembea tena kwenye sura ya hii dunia.
Like it or not...Samia is relatively good than yule kiongozi wa malaika
 
Rubani mkuu alikua na uzoefu wa miaka mingi sana. Nikupe fact ndogo sana, katika maisha yako usije kumpambanisha mtu aliefanya kazi miaka 20 na cheti chake cha kuunga unga na yule aliemaliza degree juzi. Hawa watu hawatokaa waje wafanane kwenye swala la experience. Sidhani kama Rubani aliajiriwa na cheti feki kwasababu asingevuka kipindi cha Mheshimiwa alietangulia. Nikupe mfano Kuna mtu alifoji cha form six labda combi zilikataa lakini alipofika chuo akafanya vizuri hawa ndo nnaowaongelea hapa. Sasa kaa hapo na masters yako ya ulaya uje ujifananishe na mwamba aliefanyia kazi miaka 20 hicho ulichosomea.
 
Magu is dead for good!
Hatatembea tena kwenye sura ya hii dunia.
Like it or not...Samia is relatively good than yule kiongozi wa malaika

Inahusiana vipi na Magu na Samia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…