Lighton
JF-Expert Member
- Aug 5, 2019
- 2,231
- 3,737
wakuu mmeamkaje, mimi niko salama.
Mods naomba mnisaidie kurekebisha kichwa cha habari kama mada haitaendana na nitakachoandika.
Majuzi mishale ya saa sita usiku ilitokea ajali mbaya sana ambapo treni iligongwa na gari, maeneo ya kipunguni relini, barabara ya kuelekea moshi bar, kwa wale watu wa starehe kuna baa moja maarufu inaitwa ferrovia park.
pale kwa mujibu wa ramani za ujenzi barabara ya magari ndo imekatisha kwenye reli, lakini wakazi wa maeneo hayo wanasema treni hupita kwa nadra sana, na mara nyingi huwa halipigi honi, hakuna mshika kibendera na wala vibao vinavyoonyesha kupita kwa reli.
Gari ilyogonga treni ni toyota R4 ilikuwa na mtumushi wa bandari ambaye ndiye aliyefariki.
Dhana ya treni kugongwa inaongeza uzembe sana kwa watumishi wa reli.