Ajali yaondoa Uhai wa Mwana hipHop "Shawty Lo"

Nadhani ni [emoji471] [emoji481] [emoji485] [emoji482]
 
Kw hiyo jamaa alikuwa anawake nane? Huyu ndio mwanaume.

Unakuwa na wake wengi na wote wanaridhika na wewe!

Wanaume wa Dar Mwanamke mmoja tu anamtoa nduki.
Una wake wangapi?? Wa mkoani[emoji3] [emoji23]
 
Hello dey know, huyu jamaa namfananishaga na jamaa mmoja hivi jina limenitoka kidogo, huwa nawachanganya kidogo, RIP SOLDIER
 
Yani huyu jamaa kafariki toka tarehe 21 mwez uliopita me mwenyewe nimekuja kupata taarifa zake jana, Daaah Namkumbuka sana na sauti yake ile kwenye Foolish na Dey Know, Anajiitaga KING WA BANKHEAD, RIP Shwaty Lo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…