Ajali yatokea Buigiri Chamwini, dereva wa bodaboda agongwa na kufariki dunia

Kufa c mwiko

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2013
Posts
752
Reaction score
320
Basi la tashrif linalotoka Tanga to dom limemgonga kijana aliyekuwa akiendesha bodaboda na kuacha njia kijana amefariki hapohapo dereva wa basi kakimbia,dereva wa basi alikuwa anaforce kuzipita gari ambazo zimesimamishwa kwasababu ya msafara akamgonga kijana.

Imetokea muda huu.
 
Picha, picha picha, ongezea nyama nyama kidogo! majeruhi, vifo nk!
 
Hauna kapicha hapo!? Au ulivyofanikiwa kukimbia hukupatamo picha!? Leseni yako hujaisahau!?[emoji3061]
 
Mkuu mimi nilikuwa kwenye hii basi ila hawa madereva ni vitanzi vyetu nimestukia tupo mtaroni
 

Dogo wa bodaboda kanasa chini ya difu ya mbele hapo mguu umenasa kwenye tairi la julia kwa dereva
 

Mchango wa huo msafara kwenye hiyo ajali hautazingatiwa
 
Picha plz
 
Wameshamtoa qafra kijana wa watu. Damn!

R. I. P
 
Uwezo wa madereva wa mabasi,gari za serikali na bodaboda, Nimdogo Sana (Wa kutathmini Hali ya barabara) na umekua ukicost maisha na Mali za watu. We unakuta jamm Kama hiyo alafu unaitoa chuma na ukali wote.

Hawa ndio madereva wanaopaswa kufutiwa leseni maisha. Kasha sababisha yatima. Daah!!!

Mungu ailaze roho ya marehemu pahala pema peponi Amina.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…