Ajali yatokea Buigiri Chamwini, dereva wa bodaboda agongwa na kufariki dunia

Ajali yatokea Buigiri Chamwini, dereva wa bodaboda agongwa na kufariki dunia

RIP bodabodaman.
Tunaweza kumlaumu dereva wa basi lakini wajuzi wa matumizi ya barabara kwa sababu za waliotengeneza magari, wanaweza kuhoji ni kwa nini msafara usababishe foleni ndefu hivi wakati yote ni magari?
 
Mnakumbuka
NO CHALLENGE iliyoua kupitiliza
Mnakumbuka
SHENGENA?
Hiyo ndio Tashrif ya Sasa.
Katika mabasi ya TANGA panda RAHA LEO
Hawa watu Ni wastaarabu sana wakiwa barabarani. Wanajali sana usalama wao, wa abiria lkn pia watumiaji wengine wa barabara
 
Sasa boda naye alivuka mojakwamoja bila kula pozi kidogo kuangalia huku na huku?
 
Wameshamtoa qafra kijana wa watu. Damn!

R. I. P
Hakuna cha kafara wala nini ni uzembe wa dereva wa hali ya juu. Kama ameona wenzake wamesimamishwa kupisha msafara kwani yeye alikuwa anaharakia kwenda wapi?
 
So sad unawezaje ku overtake magar yote hayo bila kuchukua tahadhar
 
Yaani hizi gari zote MTU unafanya over taking .unaua kijana wa watu anaacha familia inahangaika ni dhambi Sana , hivi kweli wewe kama ni dereva unafanya hayah
JamiiForums-97262375.jpg
 
Back
Top Bottom