Mkuu samahani, naomba utolee maelezo ulikieleza elezea kitaaluma sio km mtu yupo kwenye kijiwe cha bao au draft anakunywa kahawa hio Speed Hump ni nini? Mwingine ukimwambia hivyo haelewi si unajua sio bodaboda tu hata huko unapoelekeza malalamiko yako kumejaa masifuria pia ndio maana unaona yanatokea yanayotokeaPia Polisi kagueni leseni , hawa vijana boda boda wengi hawana leseni kabisa na wakikugonga wanajaa kutaka kukudhuru na wao ndio wanavunja sheria.
Dogo Pole haisaidii, hatutakata tena mauno yameteguka maamae.