Manton
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 1,163
- 1,523
Niliwahi kushuhudia familia ikipoteza baba na mama kwa wakati mmoja katika ajali ya gari wakiwa wanatokea kula Krismasi na mwaka mpya, kijijini kwao, wakati huo watoto wao wa pekee (mapacha), walikuwa wamebaki shuleni (skuli ya wazazi na walezi wenye kipato cha kati) wakifanya maandalizi ya kuingia darasa la saba, nao walirudishwa mwezi huo huo wa Januari kwa kukosa ada. Funzo: kesho ina mengi sana yasiyotabirika kirahisi rahisi.