Ajali za mabasi ya abiria zaanza kuitikisa serikali ya Tanzania

Ajali za mabasi ya abiria zaanza kuitikisa serikali ya Tanzania

peno hasegawa

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2016
Posts
14,255
Reaction score
23,949
Kwa kipindi cha awamu ya tano , ajali za mabasi ya abiria Tanzania ilibakia Kurwa historia. Sasa kila kona ya nchi ni vifo vya wapendwa wetu na serikali imepiga kimya. IGP uko wapi?
 
Broo ulishawahi shuhudia mabasi Haya yakitoka stand arusha halafu yakukute majengo au kisongo ukiwa na vitz ????? Tumuachie mungu
 
Mkuu nakukumbusha tu kuna ajira za jeshi la Polisi na Magereza tayari zimetangazwa. Na amirijeshi mkuu Rais Samia ameshatoa kibali. Kama Kuna nduguyo ana sifa mkumbushe. Hizi fursa zilikuwa nadra miaka mitano iliyopita.
 
Bus linatoka Morogoro saa kumi na mbili Asubuhi, linafika Moshi mjini saa Saba mchana.

Nyie jamani, Mungu atusaidie tu. Ngekuwa na gari yangu kwa kweli ningejitahidi tu nijibane nipambane nalo.
 
Kwa kipindi cha awamu ya tano , ajali za mabasi ya abiria Tanzania ilibakia Kurwa historia. Sasa kila kona ya nchi ni vifo vya wapendwa wetu na serikali imepiga kimya. IGP uko wapi?
 
Back
Top Bottom