peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,949
Hizi sifa ndio zilifanya mwendazake achukiwe bila sababu.Kwa kipindi cha awamu ya tano , ajali za mabasi ya abiria Tanzania ilibakia Kurwa historia. Sasa kila kona ya nchi ni vifo vya wapendwa wetu na serikali imepiga kimya. IGP uko wapi?
Nilivosoma kichwa cha habari nilijua tu utafanya comparison na kipindi cha Magufuli. Inshort, nakukumbusha kwamba Magufuli is “dead & gone”
Kwa kipindi cha awamu ya tano , ajali za mabasi ya abiria Tanzania ilibakia Kurwa historia. Sasa kila kona ya nchi ni vifo vya wapendwa wetu na serikali imepiga kimya. IGP uko wapi?