mwanyaluke
JF-Expert Member
- Jan 22, 2015
- 904
- 2,987
Kama ni mdau wa sekta ya usafiri Hasa wa mizigo ,Kuna jambo Tanya kufuatilia katika ajali kumi oh gari ilifeli break nk utagundua gari za kichina ni ajali Saba out of 10. Je shida ni mazoea dereva au hizi gari za mchina Zina shida
Mkuu una matatizo ya basic Mathematics.Kama ni mdau wa sekta ya usafiri Hasa wa mizigo ,Kuna jambo fanya kufuatilia katika ajali kumi oh gari ilifeli break nk utagundua gari za kichina ni ajali Saba out of 10. Je shida ni mazoea ya madereva au hizi gari za mchina Zina shida. Serikali wamefuatilia hili kujua Kwa nini gari za mchina zinaporomoka Sana
Yutong toka china ambazo karibu 100% ni yanasafirisha abiria Tz nazo leta data zake basi!Kama ni mdau wa sekta ya usafiri Hasa wa mizigo ,Kuna jambo fanya kufuatilia katika ajali kumi oh gari ilifeli break nk utagundua gari za kichina ni ajali Saba out of 10. Je shida ni mazoea ya madereva au hizi gari za mchina Zina shida. Serikali wamefuatilia hili kujua Kwa nini gari za mchina zinaporomoka Sana
Mzee mfano HOWO kufeli Break umeifuatiliaMkuu una matatizo ya basic Mathematics.
Chukua sample space ya magari(malori) yote yanayotembea barabarani kwenda mikoani.
Sasa hivi ni zidi ya 60-70%
Sasa yakiharibika humo njiani yataharibika yepi zaidi ya kuwa ndani ya hiyo zample space ya magari ya Kichina?
Kwa wengine hatushangai, kwani ikifika siku magari yote malori barabarani yakiwa ya Kichina yatakayopata ajali ni hayao hayo ya Kichina!
Howo wamemkosea nini sijui
Umemaliza. Ila kina Scania na Benz na ndugu zao huo upuuzi nadhani huwa zinakataa. Ila Howo ni twende tu.Mtawasingizia wachina bure!
Ukisikia lori kufeli brake 90% ni matumizi ya Neutral gear kwenye miteremko kwa lengo la kuokoa mafuta.
Ufanisi wa breki ukiwa neutral kwenye malori huwa mdogo!
Umemaliza Scientifically.Mkuu una matatizo ya basic Mathematics.
Chukua sample space ya magari(malori) yote yanayotembea barabarani kwenda mikoani.
Sasa hivi ni zidi ya 60-70%
Sasa yakiharibika humo njiani yataharibika yepi zaidi ya kuwa ndani ya hiyo zample space ya magari ya Kichina?
Kwa wengine hatushangai, kwani ikifika siku magari yote malori barabarani yakiwa ya Kichina yatakayopata ajali ni hayao hayo ya Kichina!