[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Namba tatu itakuwa inahusika zaidi. Inawezekana pia mabilionea huomba kupiga raundi hewani.
Mzee baba hizo km100 lete nizimalie.
Huyu bwege kumiliki smartphone anajiona ni tajiri mwenye akili mpuuzi mkubwa.Bahati yako wewe sio millionea. Shukuru kwa hilo.
Tayari nimeshakuwini kisaikolojia na ndio hicho nilikuwa nataka na kutafuta. Hapa nilipo am punching the air aggressively and violently with jubilation!Huyu bwege kumiliki smartphone anajiona ni tajiri mwenye akili mpuuzi mkubwa.
Sawa mburulaTayari nimeshakuwini kisaikolojia na ndio hicho nilikuwa nataka na kutafuta. Hapa nilipo am punching the air aggressively and violently with jubilation!
KwiiishaaaaSawa mburula
🤳Kwiiishaaaa
Mkuu madogo hawa watawajulia wapi kina Gheorghe Hagi? Wakishamjua Mkude na Morrison wanajiona wanaujua mpira.Mkuu mabilionea huwezi kuwasikia kwenye ajali za bodaboda. Huyo Dan Petrescu sio yule left back wa Romania enzi za akina George Haggi?
Arusha na Moshi walipoteza bilionea kwa ajali ya ndege. Huko Dar mabilionea wanafia guest kwa kujioverdose viagra
AiseeeeArusha na Moshi walipoteza bilionea kwa ajali ya ndege. Huko Dar mabilionea wanafia guest kwa kujioverdose viagra