Ajax FC (AFC) Special Thread

Ajax FC (AFC) Special Thread

Chati inapanda tu...
What.%20A.%20Team.%20%40afcajax%20_x__x__x_%20%E2%80%94%E2%80%94%E2%80%94%E2%80%94%E2%80%94%E...jpeg
 
Tofautisha Tanzania one theater na TOTENHAM HOTSPURS.

Tukutane mwisho wa game.
 
Hawa ajax wanaua mtu leo


Hawa totnhum wamepigwa tu juzi na west hum, ni wabovu balaa

Walimtoa city kwa VAR tuuu
 
shabiki nguli kabisa wa ajax amsterdam nipo hapa nikiwakilisha chama langu la taifa nililozaliwa
 
Kwahiyo goli 4 zote zilimtoa City kwa VAR? Man City mwenyewe ni mbovu sana maana tangu kwenye makundi hakukutana na timu kubwa hadi robo fainali.

Kama una unataka kupinga, lete ushahidi wako hapa ss hv, tena bado mlipendelewa sana kupangwa na Tottenham sababu huwa mnampiga nnje ndani ligi ktk epl.
Hawa ajax wanaua mtu leo


Hawa totnhum wamepigwa tu juzi na west hum, ni wabovu balaa

Walimtoa city kwa VAR tuuu
 
Niko Ajax maana anacheza mpira mzuri sana pia hukaba nafasi badala ya Wachezaji wa timu pinzani.

Mwaka huu City mtachukua ubingwa epl kwa ubora wenu lkn UEFA ni kombe la Wanaume.
Hawa ajax wanaua mtu leo


Hawa totnhum wamepigwa tu juzi na west hum, ni wabovu balaa

Walimtoa city kwa VAR tuuu
 
Ila jana kipindi cha pili waliniogopesha. Spurs walikuwa wanashambulia sana nikajisemea Son angekuwepo angewafunga. Ila all in all Ajax wanasakata kabumbu zuri sema umaliziaji pia unasumbua kidogo. Maana muda mwingi wanachezea kwenye goal la team pinzani. Jana kipindi cha kwanza ni kama Onana alikuwa likizo.
 
Back
Top Bottom