Ajax FC (AFC) Special Thread


Away wataenda kuchapwa nyingi...

Final B-A....
 
Mkuu
Sio kaka zao ni baba zao cause kwenye kile kikosi DannyBlind baba wa Daley Blind alikuepo pia ukiangalia wastani wa umri wa wachezaji wa sasa ambao ni miaka isyozidi ishirini inaendana na muda ambao walichukua ubingwa mara ya mwisho 1995 ambayo ni zaidi ya miaka 20
 
Ni kweli mkuu uko sahihi kiongozi

Japo kwenye soka tumezoea kutumia kauli ya kaka/wakubwa wao.
 
Watu mnakazia UCL kwa nini msiangalir na reson nyingine umekamia moja EPL NI BORA
LIGI NGUMU
LIGI YENYE WASHABIKI IKIWEMO WW MBISH
LIGI YENYE WADHAMINI WENGI
LIGI INAYOKUFANYA KUONRKANA DUNIANI HATA UKIWA WATFORD SIO WW UPO ALAVES WANASUBIRIA GAME YA MADRID NA BARCA/ATLETICO NDIO WANATAZAMA TU GENOA NA ALAVES HAWATAZAMI
 
Mamaee waingereza mnanikera , mpira mbovu . To be honest this is the worst UCL final that I have ever encountered in my life , fuuck !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…