Ajibu aigomea TP Mazembe Sasa kuelekia Simba SC

Ajibu aigomea TP Mazembe Sasa kuelekia Simba SC

Wamefanikiwa kwenye soka ??

Mpira una umri wake ndio maana nakwambia Samatta ,Ulimwengu walifanya uamuzi bora sana kwenda kucheza TP Mazembe wakiwa bado vijana hata miaka 20 walikuwa hawajafikisha,Ajibu ameshachelewa hata akienda nje hawezi kucheza misimu zaidi ya 2 atarudi bongo
Kina Ngassa,Ajibu,Boko,Kaseja ni wachezaji walikuwa na uwezo wa kucheza nje lakini walichelewa kwenda
Sio lazima urudi Bongo unaweza cheza TP Mazembe ukafanikiwa kusajiliwa na timi za Waarabu wanaolipa mshahara mzuri tu
Mfano Makusu wa AS Vita amesaniliwa na Berkane ya Morroco analipwa milioni 86 kwa mwezi
Sasa Ajibu angefanikiwa kufika huko pia angepata maslahi Mazuri tu.
Kagere na uzee wake ule Zamalek wanamtaka kwa zaidi ya milioni 500 Sasa Ajibu akienda angalau Al Ahly, Zamalek au Raja Casablaca angepata pesa nyingi tu za kumnufaisha
 
Nimepitia uzi wote nimeshangaa sana watu wanavyo mlaumu huyu ndugu migombo.

kwanza watu wajue huyu ni mtu mzima. Huwezi kumlaumu mtu bila kuujua ukweli juu ya mkataba wake na mazembe pamoja na maslai yake.

watu wajue mpira ni ajira na ajira ni maslai. Kama simba watamlipa vizuri na kupata maslai mazuri kwanini asikubali na kukataa dau dogo la mazembe?

maisha ni plani na plani ni maisha unaweza usicheze ulaya ukacheza tanzania ukawa tajiri mkubwa kwa kipato utakachokipata kuwekeza kwenye biashara.

kupata hela nyingi sio tija kama huna akili za kuifanyia kazi iyo hela iwe na mwendelezo wa kukuzalia faida kwa kuiwekeza.
 
Ajibu Standard seven amepangishiwa nyumba na gari. . Wote aliokuwa nao choka mbaya.. Kwa nini asichukue 120m ya MO na mshahara 5m..awaache washikaji zake wakinabwax?
 
Huo ni ukichaa kukataa kwenda timu kubwa kama mazembe hata kama angelipwa kidogo lakini mguu uliotoka so sawa na uliokaa wabongo hatuwezi kuchukua afcon kwa matope ya akili za kuoza kama hizi.
Tulia wewe, unadhani Simba haitaki wachezaji wazuri. Migomba inaamini ikitokea Simba ikaenda nje ndio itafanikiwa kwani Simba klabu kubwa. Sasa CV ikionesha ametokea Vyura fc watamkataa
 
Tulia wewe, unadhani Simba haitaki wachezaji wazuri. Migomba inaamini ikitokea Simba ikaenda nje ndio itafanikiwa kwani Simba klabu kubwa. Sasa CV ikionesha ametokea Vyura fc watamkataa
Enhe
 
Huo ni ukichaa kukataa kwenda timu kubwa kama mazembe hata kama angelipwa kidogo lakini mguu uliotoka so sawa na uliokaa wabongo hatuwezi kuchukua afcon kwa matope ya akili za kuoza kama hizi.
Labda anaogopa kwa kudhani DRC nako kuna mambo ya 'hawa yuu' kama sauzi au mamtoni!
Kiukweli hapa ndipo utajua kauli ya EL, elimu, elimu, elimu ina umuhimu kiasi gani kwa Watz.
 
Hongera Ajibu, kujisajiri Simba kunamaslahi mazuri kuliko TP Mazembe.
Nyumbani kumenoga
 
Amezingua sana,huwezi kukataa of a ya mazembe huo ndio ulikuwa mwanzo wa yeye kufika mbali kisoka kama sama goal.

Kwani wote walipcheza na Samatta wameenda mbali kama Samatta? Vitu vingine tusiviongee tu. Unaweza kucheza Mazembe na ukafulia kwa kuwekwa benchi na mpira wako ukaishia hapo hapo.

Kwanini akimbilie kule wakati hata Simba wanauwezo wa kumpa mpunga wa maana na uhakika wa namba na atacheza mashindano hayo hayo anayoyacheza mazembe na bado ikikaza akafanikiwa tu.
 
Yupo wapi kiungo fundi na matata wa kiganda?.Patricky Ochang' waliosajiliwa pamoja na sammata kutoka simba kwenda TP Mazembe.Kuna kipindi Mazembe wachezaji wengi waliopita hapo walikuwa wakilalamika kuwa imekuwa na desturi ya kubania wachezaji wanapopata deal la kwenda kwenye team za ulaya Hususani kwenye league ya France kwa kuwatajia dau kubwa kinyume na uhalisia wa thaman halulisi ya mchezaji uhusika,kitendo hicho kiliwafanya wachezaji wengi kumalizia career zao hapo.huku wakiondoka wakiwa washazeeka na kwa ku-force pindi mikataba yao Imalizikapo.ndio maana ata Sammata sio kwamba aliondoka kilaisi pale.ilikuwa mbinde sana kumwachia,ndo team watanzania wengi wanaiona pepo kwa maendeleo ya Ajib seriously!!!.
 
Back
Top Bottom