Ajibu aigomea TP Mazembe Sasa kuelekia Simba SC

Ajibu aigomea TP Mazembe Sasa kuelekia Simba SC

Amezingua sana,huwezi kukataa of a ya mazembe huo ndio ulikuwa mwanzo wa yeye kufika mbali kisoka kama sama goal.
Itakuwa alishatafuna ela za Mo kitambo huyu jamaa.. Dogo anaringia nini huyu.
Kuna kitu sio bure
 
Cadabra ameshindwa kumshinda shetani, ila kwa kuwa muda wa usajili bado ni vyema apambane afike AFCON pale anaweza kupata timu bora
 
Huo ni ukichaa kukataa kwenda timu kubwa kama mazembe hata kama angelipwa kidogo lakini mguu uliotoka so sawa na uliokaa wabongo hatuwezi kuchukua afcon kwa matope ya akili za kuoza kama hizi.
Ni ujinga wa hali ya juu kukubali kulipwa kidogo kisa uitwe mchezaji wa mazembe, samatta hakuwa boya alianza na mshahara wa $10000 na bonansi ya $1000 kila goli la Club bingwa, football mchezo wa muda aende anakolipwa vizuri
 
Ajibu alishachukua hela ya mkataba wa awali Simba, Mazembe walidhani ni mchezaji huru, wakawafuata simba ndo wakaambiwa Kama mnamtaka Ajibu wekeni mi 220 mezani. Wakaona bei kubwa wakasusa
Source Azam Tv
Inawezekana an ofa kwingineko
 
Baada ya Yanga kuwasilisha documents zote zinazousu mchezaji Ibrahim Ajib kwa TP Mazembe Kama walivyoomba
TP Mazembe wameijibu Yanga kwamba wamejitoa katika mbio za kukamilisha usajili wa Ajibu kwasababu wameshindwa kukubaliana maslahi binafsi na mchezaji huyo.
Taatifa za ndani zinasema watu wa karibu wa Ajibu wamemshawi kuelekea kujiunga na Simba kwani atapata maslahi kama atakayolipwa Mazembe
View attachment 1108886
Hivi penye miti kuna wajenzi?????????????????????????
 
Ajib alishasaini mkataba na simba toka mwezi wa 4 nilijua wazi ili aende mazembe lazima simba wahusike
 
Wakati Samatta anaenda TP Mazembe hakuwa na mke wala mtoto ,ulikuwa umri sahihi yeye kwenda nje Ajibu alishachelewa
Mantiki ni kuwa na mke na watoto ni kishawishi kikubwa cha kuwa na kiu ya mafanikio
 
Hapana mkuu...amekumbuka lile bakuli la ombaomba fc linavyojaaga miatano miatano alafu yeye kama kapteni ndo anakabidhiwa awagawie wenzie zinazobaki anachukua yeye
Pengine amezikumbuka bodaboda
 
Mantiki ni kuwa na mke na watoto ni kishawishi kikubwa cha kuwa na kiu ya mafanikio
Hujaelewa
Ni ngumu sana Mtanzania mwenye mke na mtoto kwenda kufanya kazi nje
 
Siyo kweli kwani kuna wengi tu wamefanikiwa
Wamefanikiwa kwenye soka ??

Mpira una umri wake ndio maana nakwambia Samatta ,Ulimwengu walifanya uamuzi bora sana kwenda kucheza TP Mazembe wakiwa bado vijana hata miaka 20 walikuwa hawajafikisha,Ajibu ameshachelewa hata akienda nje hawezi kucheza misimu zaidi ya 2 atarudi bongo
Kina Ngassa,Ajibu,Boko,Kaseja ni wachezaji walikuwa na uwezo wa kucheza nje lakini walichelewa kwenda
 
Ni ujinga wa hali ya juu kukubali kulipwa kidogo kisa uitwe mchezaji wa mazembe, samatta hakuwa boya alianza na mshahara wa $10000 na bonansi ya $1000 kila goli la Club bingwa, football mchezo wa muda aende anakolipwa vizuri
Poa
 
B

Bora kujaribu unaweza ukadumu kila MTU na bahati yake.
 
Ni ujinga wa hali ya juu kukubali kulipwa kidogo kisa uitwe mchezaji wa mazembe, samatta hakuwa boya alianza na mshahara wa $10000 na bonansi ya $1000 kila goli la Club bingwa, football mchezo wa muda aende anakolipwa vizuri
Kwa hiyo simba watamlipa dola ngapi!
 
Back
Top Bottom