ibanezafrica
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,261
- 6,553
Sio lazima urudi Bongo unaweza cheza TP Mazembe ukafanikiwa kusajiliwa na timi za Waarabu wanaolipa mshahara mzuri tuWamefanikiwa kwenye soka ??
Mpira una umri wake ndio maana nakwambia Samatta ,Ulimwengu walifanya uamuzi bora sana kwenda kucheza TP Mazembe wakiwa bado vijana hata miaka 20 walikuwa hawajafikisha,Ajibu ameshachelewa hata akienda nje hawezi kucheza misimu zaidi ya 2 atarudi bongo
Kina Ngassa,Ajibu,Boko,Kaseja ni wachezaji walikuwa na uwezo wa kucheza nje lakini walichelewa kwenda
Kwa hiyo simba watamlipa dola ngapi!
Angekuwa ndanda fc,anarudi kwao rangi tatu kucheza mfamau cup.Duh Samatta angefanyaga uamuzi Kama huo saa hizi angekua; mbagala zakhem anauza miguu ya kuku
Hiyo ni lugha ya wanamichezo. Si unajua huko wengi shule zao ni za kuungaunga?Niliposoma "to secure agreement" nikapata shaka.
Tulia wewe, unadhani Simba haitaki wachezaji wazuri. Migomba inaamini ikitokea Simba ikaenda nje ndio itafanikiwa kwani Simba klabu kubwa. Sasa CV ikionesha ametokea Vyura fc watamkataaHuo ni ukichaa kukataa kwenda timu kubwa kama mazembe hata kama angelipwa kidogo lakini mguu uliotoka so sawa na uliokaa wabongo hatuwezi kuchukua afcon kwa matope ya akili za kuoza kama hizi.
EnheTulia wewe, unadhani Simba haitaki wachezaji wazuri. Migomba inaamini ikitokea Simba ikaenda nje ndio itafanikiwa kwani Simba klabu kubwa. Sasa CV ikionesha ametokea Vyura fc watamkataa
Labda anaogopa kwa kudhani DRC nako kuna mambo ya 'hawa yuu' kama sauzi au mamtoni!Huo ni ukichaa kukataa kwenda timu kubwa kama mazembe hata kama angelipwa kidogo lakini mguu uliotoka so sawa na uliokaa wabongo hatuwezi kuchukua afcon kwa matope ya akili za kuoza kama hizi.
Amezingua sana,huwezi kukataa of a ya mazembe huo ndio ulikuwa mwanzo wa yeye kufika mbali kisoka kama sama goal.