Ajibu kwenda Yanga kwa milioni 45, wadau hawamtaki watishia kumpa kipigo

njaakalihatari

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2019
Posts
4,081
Reaction score
8,671
Haya haya amkeni buanaaaaa! Huko utopoloni mambo ni faya sana sema jamaa nawasifu jinsi walivyoweza kuyashikilia makanjanja wa nchi hii.

Kamwe hutasikia lolote baya kuhusu hawa jamaa kuanzia wale nyoka walioonekana kambini Kigamboni, lamine Moro kukunjana na daktari wa team kule Kigamboni, wacheza kutaka kumchapa kocha wa viungo na kugomea mazoezi magumu before match ya Simba yote yailikaushiwa na makanjanja.

Makanjanja wanaona ni bora ya discuss tweets za Mo Dewji kwa nusu saa nzima kuliko ku-discuss habari za Metacha Mnata kufukuzwa kambini kwa ulevi na kutukana wenzake au Ibrahim ajibu kulamba milion 45 kurudi huko vyura vyurani.

ajibu 45 mln.PNG
 
Kichwa cha habari na habari yenyewe ni mlenda juu ya ubwabwa..
 
Haya haya amkeni buanaaaaa! Huko utopoloni mambo ni faya sana sema jamaa nawasifu jinsi walivyoweza kuyashikilia makanjanja wa nchi hii.

Kamwe hutasikia lolote baya kuhusu hawa jamaa kuanzia wale nyoka walioonekana kambini Kigamboni, lamine Moro kukunjana na daktari wa team kule Kigamboni, wacheza kutaka kumchapa kocha wa viungo na kugomea mazoezi magumu before match ya Simba yote yailikaushiwa na makanjanja.

Makanjanja wanaona ni bora ya discuss tweets za Mo Dewji kwa nusu saa nzima kuliko ku-discuss habari za Metacha Mnata kufukuzwa kambini kwa ulevi na kutukana wenzake au Ibrahim ajibu kulamba milion 45 kurudi huko vyura vyurani.

View attachment 1796914
Ajibu ni mchezaji mzuri sana tatizo hana nidham wala hajui anafanya nini. Ajibu kama angefocus na kutulia nina uhakika hata Chama mwenyewe angekuwa anakaa benchi ila tatizo mvivu wa mazoezi, hapa Yanga watafute mtu mwengine na si Ajibu.
 
Mungu anisamehe, lakini naona hata uwaminifu wake ni mdogo. Mwaka ule wa mwisho wa mkataba wake na Yanga mzunguuko wa kwanza alikuwa moto kwa magoli na assist, mzunguuko wa pili ghafla alidrop na kugomea baadhi ya mechi kisayansi. Kwa hadhi ya Simba ya wakati ule na trend ile wasingemsajili. Hii inaleta dhana alilipwa kufanya sabotage.
Na kitendo cha kukataa kwenda TP Mazemba na kubainika alikuwa na mkataba wa awali na Simba inazidi kutilia nguvu.
 
Mikia mnateseka mkiwa wapi ingekua kipindi tuna njaa sawa lakn sasa hivi tuna pesa
 
Back
Top Bottom