njaakalihatari
JF-Expert Member
- Feb 12, 2019
- 4,081
- 8,671
Watatoboa vp kama wao wenyewe hawajielewi?Ndio maana wachezaji wa ndani hawatoboi si kwa chuki hizo.
potezea kama huelewi au umeamka na hangover za kimpumu?Kichwa cha habari na habari yenyewe ni mlenda juu ya ubwabwa..
Ajibu ni mchezaji mzuri sana tatizo hana nidham wala hajui anafanya nini. Ajibu kama angefocus na kutulia nina uhakika hata Chama mwenyewe angekuwa anakaa benchi ila tatizo mvivu wa mazoezi, hapa Yanga watafute mtu mwengine na si Ajibu.Haya haya amkeni buanaaaaa! Huko utopoloni mambo ni faya sana sema jamaa nawasifu jinsi walivyoweza kuyashikilia makanjanja wa nchi hii.
Kamwe hutasikia lolote baya kuhusu hawa jamaa kuanzia wale nyoka walioonekana kambini Kigamboni, lamine Moro kukunjana na daktari wa team kule Kigamboni, wacheza kutaka kumchapa kocha wa viungo na kugomea mazoezi magumu before match ya Simba yote yailikaushiwa na makanjanja.
Makanjanja wanaona ni bora ya discuss tweets za Mo Dewji kwa nusu saa nzima kuliko ku-discuss habari za Metacha Mnata kufukuzwa kambini kwa ulevi na kutukana wenzake au Ibrahim ajibu kulamba milion 45 kurudi huko vyura vyurani.
View attachment 1796914
Mungu anisamehe, lakini naona hata uwaminifu wake ni mdogo. Mwaka ule wa mwisho wa mkataba wake na Yanga mzunguuko wa kwanza alikuwa moto kwa magoli na assist, mzunguuko wa pili ghafla alidrop na kugomea baadhi ya mechi kisayansi. Kwa hadhi ya Simba ya wakati ule na trend ile wasingemsajili. Hii inaleta dhana alilipwa kufanya sabotage.Ajibu ni mchezaji mzuri sana tatizo hana nidham wala hajui anafanya nini. Ajibu kama angefocus na kutulia nina uhakika hata Chama mwenyewe angekuwa anakaa benchi ila tatizo mvivu wa mazoezi, hapa Yanga watafute mtu mwengine na si Ajibu.