Ajibu rasmi Simba

Ajibu rasmi Simba

Vipi hali inaendeleaje huko chumbani? Mana naona bosi anajiongeleshaongelesha,Mara watu wanakuja usiku wanatoboa mtumbwi ili azame. Vipi huo mtumbwi ushazibwa?
 
Kwa post ya boc Mo Leo,sion future yoyote ya simba ,kabisa ,hayupo vizuri something is wrong somewhere, washabiki was simba wajiandae kisaikolojia aisee msimu ujao utakuwa mgum sana aiseee
 
Ndio ubaya wa kutegemea mtu mmoja aisee,akinuna tu ,wote mnanuna daaaa hatariiiiii
 
Huyu jamaa tayari rasmi katangazwa na wekundu wa msimbazi kwa mkataba wa miaka miwili ,ingawa mm ni mshabiki wa hii simba lakini najiuliza kwanini huyu mchezaji aliwatolea nje TP Mazembe akawakubali simba napata mashaka na uwezo wake!!!!!!
😂😂😂😂😂 aende tu
 
Back
Top Bottom