Zamaulid
JF-Expert Member
- May 25, 2009
- 19,697
- 15,497
Kakolanya kasign akitokea wapiAlikua huyo mmoja tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kakolanya kasign akitokea wapiAlikua huyo mmoja tu
Na Kakolanya? Gadiel je mana nasikia naye mnamezea mate.Alikua huyo mmoja tu
Ni majanga! Akiondoka itakuwa hatari, mishahara ya hao wachezaji sijui itakuwaje akiwemo Ajibu!Ndio ubaya wa kutegemea mtu mmoja aisee,akinuna tu ,wote mnanuna daaaa hatariiiiii
Huru,Kakolanya kasign akitokea wapi
😂😂😂😂😂 aende tuHuyu jamaa tayari rasmi katangazwa na wekundu wa msimbazi kwa mkataba wa miaka miwili ,ingawa mm ni mshabiki wa hii simba lakini najiuliza kwanini huyu mchezaji aliwatolea nje TP Mazembe akawakubali simba napata mashaka na uwezo wake!!!!!!