Ajificha kwenye tairi la ndege kutoka Afrika Kusini mpaka Uholanzi

Watakwambia, ^He's setting a very bad precedence for others to follow! So, he should receive the severest punishment to warn those who may be of likeminded.^

Ndivyo ECOWAS wanavyomfanya Assimi Goïta wa Mali.
Yeah ni kweli kwa muktadha wa kuto entertain kitu kama hicho. Ila huyu duh inatakiwa ahojiwe atoe mbinu na ikiwezekana itengenezewe documentary walau apige pesa katika hilo.
 
shujaa wa january 2022
 
Inaonenakana wasauzi magwiji kwenye hii fani..inabidi "mastolowei"new generation wakajifunze ma mbinu huko si mchezo!
Ila, huyo mtasha aliyemsaidia mwamba plus na mamlaka Mungu awape pepo wallahi safi sana. Afrika jamani maisha magumu ooh
Mie kuna anko namkumbuka mpumbavu sana ati alishangaa kwanini sikupata kazi enzi hizo kana kwamba ajira ni rahisi sana bongo. Nikimkumbuka huwa namtukana kimyakimya.
 
Yeah ni kweli kwa muktadha wa kuto entertain kitu kama hicho. Ila huyu duh inatakiwa ahojiwe atoe mbinu na ikiwezekana itengenezewe documentary walau apige pesa katika hilo.
^War-who-knee^ watakwambia eti huko ni kuwa-entertain mabaradhuli na kushabikia villains badala ya heros.
 
uwezi fika kanan hivi hivi bila kuwa lesso ya kufuata machozi na jasho.
Sure mkuu na huyo pamoja na kwamba alipona ila pia wakati anaanguka alivunjika mguu. Akakaa hospitali zaidi ya miezi sita na nahisi hiyo pia ni sababu mojawapo kwanini mapolisi waliamua kumuachilia tu mitaani hawakumfunga wala hawakumrudisha kwao.
 
Ni kwere joh. Huyo anatakiwa atunukiwe na cheti cha heshima kabisa.
Sure kabisa huyu mi nilijisemea tu ilikuwa bahati yake. Lakini pia sababu mojawapo iliyofanya wamuonee huruma na kumuachilia mitaani ni kwa vile alipoanguka alivunjika mguu akakaa hospitali zaidi ya miezi sita alipopona na kuwaelezea historia ya maisha yake ndiyo wakamuonea huruma wakamuacha.
 
Hahaaa maisha ya afrika siyo kabisa. Hao majamaa unaambiwa kabla ya kudandia lile dege la British Airways ilibidi watafute material za kutosha kuhusu structure ya ndege na namna ya kujibanza vizuri kwenye magurudumu.

Pia wakawa wanapanga mbinu za namna ya kuingia airport hadi kuifikia ndege kwa kupitia njia za panya. Yaani hawakupitia kwenye terminals kwa sababu hawakuwa na document yoyote ya kusafiria walipitia nyuma ya airport.

Jamaa walishachoka maisha ya nyumbani kwao wakaona hiyo ndiyo njia pekee sema yule mmoja masikini bahati haikuwa yake. Ila huyu mwingine alivunjika mguu akakaa zaidi ya miezi sita hospitali ikabidi wamuachilie tu mitaani akasaidiwe huko.
 
Hatari ilibidi nikatafute hiyo habari nimepatana na article moja the guardian jamaa anaishi Liverpool siku hizi ana hustle kwenye mambo ya hip-hop.
 
Ni kamandooo huyo
 
Maisha ya Afrika ni nusu jehanamu.
Huwa nawahadithia watasha wangu basi wanashangaa sana na wengine kitambo walikua wakija huku, duh! wanaona haya maisha yetu ni hatari tupu very undesirable kwa quality ya maisha anayopaswa kuishi binadamu.

Nakumbuka kuna rafiki mmoja alikua anaona aibu eti tuwafiche na wakija tuwapitishe sehemu nzuri tu 😂. Nikikumbuka nacheka sana.
 
Polisi wa kijeshi nchini Uholanzi leo wameshangazwa kumkuta mtu aliyekuwa amejificha chini ya ndege kwenye eneo la tairi la mbele kuwa yuko salama.

Ndege hiyo ilisafiri kwa saa 11 kutokea Afrika mpaka Ulaya...
Huyo tayari ni kivutio Cha utarii watamlinda Sana maana kumuona tu lazima utoe kwanza kutokana na uajabu aliouonyesha usifikili wao hawaoni fulsa tayar wamemuandalia makazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…