Ajikata uume kisa urijali

Ajikata uume kisa urijali

Alitaka kujiongezea kilema kizembe sana.
Alitaka!
Mkuu umesoma bila kuelewa mada?

Mtu kaukata na yuko mahututi bado hajawa mlemavu huyo?

Ingawa hawajaeleza %aliyoukata, lakini sehemu aliyoichezea ni senstive sana, haitaki kufanyiwa upumbaf, sidhani kama huyo anaweza "kurudi barabarani" tena!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo bado sio sababu yakujizuru.sasa akifa ndo huyo mwanamke hatagongwa?.Si bora angekuwepo akalea watoto kuliko kuwaza ujinga.Na isitoshe alijuaje kama hatakuja kupona.
Wewe unaona sio sawa

Sababu hayajakukuta. Kuna watu wanajinyonga sababu ya matatizo.

Ndio maana nasema omba MUNGU akulinde
 
Nimesoma kwenye gazeti la mwananchi wamesema amekufa baada ya kuishiwa maji na dam
 
Wewe unaona sio sawa
Sababu hayajakukuta.kuna watu wanajinyonga sababu ya matatizo.
Ndio maana nasema omba MUNGU akulinde
Mkuu hii ni kweli yani bora kuomba MWENYEZI MUNGU maana matatizo ni mengi katika maisha tunapitia hapa dunia na hayachagui
 
Maskini wee amekata utamuu..amejifanyia ukatili wa hali ya juu sana.ana roho ngunu sana Juma Juma.ana akili fupi na mbaya sana Juma Juma.

Akipona afatiliwe nyendo zake huenda akawa amejihusisha kwenye matukio mabaya yasiyofahamika or kuwa nae aware akishapona anaeza jiunga hata vikundi vya kigaidi huyo.

Japo sheria haitomwacha salama kwa kosa la kujaribu kujiua.
 
Back
Top Bottom