Sakasaka Mao
JF-Expert Member
- Sep 29, 2016
- 12,826
- 17,371
Alitaka!Alitaka kujiongezea kilema kizembe sana.
Mkuu umesoma bila kuelewa mada?
Mtu kaukata na yuko mahututi bado hajawa mlemavu huyo?
Ingawa hawajaeleza %aliyoukata, lakini sehemu aliyoichezea ni senstive sana, haitaki kufanyiwa upumbaf, sidhani kama huyo anaweza "kurudi barabarani" tena!
Sent using Jamii Forums mobile app