Sakasaka Mao
JF-Expert Member
- Sep 29, 2016
- 12,826
- 17,371
Alitaka!Alitaka kujiongezea kilema kizembe sana.
Wewe unaona sio sawaHiyo bado sio sababu yakujizuru.sasa akifa ndo huyo mwanamke hatagongwa?.Si bora angekuwepo akalea watoto kuliko kuwaza ujinga.Na isitoshe alijuaje kama hatakuja kupona.
Mkuu hii ni kweli yani bora kuomba MWENYEZI MUNGU maana matatizo ni mengi katika maisha tunapitia hapa dunia na hayachaguiWewe unaona sio sawa
Sababu hayajakukuta.kuna watu wanajinyonga sababu ya matatizo.
Ndio maana nasema omba MUNGU akulinde
Itolwa ni warangi mjumbe!Sasa uume una shida gani jamani?
Angekata kiuno tu.
Omba Mungu akupe maarifa ya kutambua kuwa uume siyo kwa ajili ya kugegeda.
Akili za Wagogo ni fupi sana, kama yule jamaa MC