I see kafa na utamu wake, R.I.P SophiaSophia Charles Odipo mwenye umri wa miaka 23 Mkazi wa Mseto amefariki baada ya kujinyonga chanzo kikiwa ni baada ya kwenda Hospitali kupima afya yake mara mbili na kugundulika ana maambukizi ya Virusi vya UKIMWI.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Geita, Henry Mwaibambe amesema "Huyu Dada alijinyonga kwa kamba mpaka kufa chumbani kwake baada ya kwenda Hospitali na kugundulika ana maambukizi ya UKIMWI"
Millard
Mkuu una uhakika gani kuwa huo Ukimwi ameupata kwa njia ya dhambi? Ukimwi hauambukizi kwa njia ya ngono pekee japo kujiua ni kosa kisheria na kidini.mshahara wa dhambi ni mauti...
Hakupata watalaamu wa saikolojia mara baada ya kupima? Hapo hospital lazima unapewa elimu sahihi Kwa ajili ya kupokea aina zote mbili za majibu. Yaani hasi au chanya. Anyways, ameukosa ufalme wa Mbinguni kizembe. Sabato njema.Sophia Charles Odipo mwenye umri wa miaka 23 Mkazi wa Mseto amefariki baada ya kujinyonga chanzo kikiwa ni baada ya kwenda Hospitali kupima afya yake mara mbili na kugundulika ana maambukizi ya Virusi vya UKIMWI.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Geita, Henry Mwaibambe amesema "Huyu Dada alijinyonga kwa kamba mpaka kufa chumbani kwake baada ya kwenda Hospitali na kugundulika ana maambukizi ya UKIMWI"
Millard
Kwani kukutwa na HIV ni dhambi hapo dhambi labda huyo kijiuamshahara wa dhambi ni mauti...
Kaokoa wengi. Huo mnyororo ambao angetengeneza miaka 10 ijayo balaa. Huyu ni shujaa; kafa kwa ajili ya wengi.I see kafa na utamu wake, R.I.P Sophia