Ajinyonga baada ya kugundua ana virusi vya Ukimwi

Ajinyonga baada ya kugundua ana virusi vya Ukimwi

Sophia Charles Odipo mwenye umri wa miaka 23 Mkazi wa Mseto amefariki baada ya kujinyonga chanzo kikiwa ni baada ya kwenda Hospitali kupima afya yake mara mbili na kugundulika ana maambukizi ya Virusi vya UKIMWI.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Geita, Henry Mwaibambe amesema "Huyu Dada alijinyonga kwa kamba mpaka kufa chumbani kwake baada ya kwenda Hospitali na kugundulika ana maambukizi ya UKIMWI"

Millard
Haya tulitolea angalizo juu ya tabia ya kulazimisha watu kupima kabla ya kupewa huduma hospital za serikali
 
Kujiua ni kujidhulumu nafsi yako,cha msingi ni kuishi kwa nidham kabla na baada ya kupima,ukute dada aliletewa na mme wake au vinginevyo....kupima ngoma kwa mara ya kwanza ni mtihani kama hujiamini,nilikuwa naogopa kupima waya wa umeme ila karibia na siku ya kuoa nikaenda natetemeka hospital kupima Alhamdulillah, kichwa kinakuwa kimejaa mawazo mengi baada ya kupima utaishi vipi ukikutwa nao,kama hauna roho ya uvumilivu na kukosa ushauri nasaha unajidedisha mapema tu.
 
Kuna umuhimu wa wizara ya afya kutoa elimu ya UKIMWI kwa vijana wetu! TACAIDS siku hizi hawaonekani tena wamefunga ofisi zao? Vijana waelimishwe kuwa UKIMWI sio tishio tena kuwa ukiupata ni lazima UFE; kuna dawa za kuongeza Maisha sio kama zamani!!! Wapate Elimu ama sivyo vijana wengi watajinyonga!!
 
Mwisho ni figo na dialysis tu😅 utadundaje mzee wakati mwisho wa kifala

Hayo mambo ya figo na hiyo dialysis mbona yako huko nchi maskini tu [ Ingawa nyie Jiwe aliwaita DONOR country!] , lazima hizo dawa zinazoletwa huko zina walakini!! Huko majuu wenye virusi wanatumia dawa na hawapati hizo side effects!!
 
Hivi vifaa vya kusafishia kucha navyo sio, itabidi wanawake tuanzishe kampeni ya kwenda na vifaa vyako binafsi, na wahudumu wavae gloves, pia utumiaji wa spirit nk,
 
So far hii ni moja ya comment ya kipuuzi ndani ya miaka hii mitatu
Mkuu Joanah jamaa yuko sahihi, huo ugonjwa haupo sema siyo rahisi kuelewa hili kwa sababu tuna ndugu zetu wamekwisha kufa kwa sababu za huo ungonjwa. Ila ukweli ni kuwa huo ungonjwa haupo
 
Kujiua ni kujidhulumu nafsi yako,cha msingi ni kuishi kwa nidham kabla na baada ya kupima,ukute dada aliletewa na mme wake au vinginevyo....kupima ngoma kwa mara ya kwanza ni mtihani kama hujiamini,nilikuwa naogopa kupima waya wa umeme ila karibia na siku ya kuoa nikaenda natetemeka hospital kupima Alhamdulillah, kichwa kinakuwa kimejaa mawazo mengi baada ya kupima utaishi vipi ukikutwa nao,kama hauna roho ya uvumilivu na kukosa ushauri nasaha unajidedisha mapema tu.
🤣🤣🤣🤣 Sasa ukikutwa nao sii ndio unaendelea kugegeda vizuri bila condom mzeya...alafu ebu tuwe serious...ukimwi upo kweli? Au swaga za chuma hela tuu
 
Ameogopa nini.?
Mbona ni ugonjwa wa kawaida tu siku hizi
 
Back
Top Bottom