Ajinyonga baada ya kugundua ana virusi vya Ukimwi

Ajinyonga baada ya kugundua ana virusi vya Ukimwi

Unaeza kukuta alizaliwa nao. Tatizo wazazi wanaficha kuwaeleza ukweli watoto waliozaliwa na maambukizi hadi wanapokwenda huko mahospitali wenyewe ndo wanagundua mwishowe inakuwa ngumu kukubali hali halisi. wazazi tuwe wawazi kuwaeleza watoto km wana maambukizi itasaidia kupunguza vifo km hiv
 
mkuu sio geita tu. hii kitu ipo kila mahali. kuna jamaangu yupo senta fulani ya hii kitu anakwambia kwa siku wanahudumia hadi watu hamsini kwa siku. ila hayo maeneo ya machimbo ya madini km geita, kahama huko ndo hali mbaya zaidi.
Geita imeoza wakuu ..wale wa kupenda wanawake wa kisukuma wenye miguu ya bia nendeni kwa tahadhari sana
 
Back
Top Bottom