Ajinyonga baada ya kujifungua mtoto mlemavu

Ajinyonga baada ya kujifungua mtoto mlemavu

Ukikosa wa kuongea nao in real life kuna watu online kama hivi, ongea utoe ya moyoni.

Kufika stage ya kujinyonga ni mbaya sana.
Sometimes watu wa online nao wana comment zinakera wanakuwa kama wanashindilia msumari
 
Kwa hiyo Afande yeye kilichomuuma tu ni ndugu kuachiwa mzigo wa malezi?,🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Watu kujiua au kuua imekuwa kama fashion...

Hofu ya MUNGU haipo ndani ya watu.
Ninashindwa kuelewa, kuna wakati matukio yanayofanana huinuka mfululizo kwa miaka kadhaa na likipito hilo linakuja jingine hee
 
Mwanamke mmoja mkazi wa Njombe, amejinyonga baada ya kujifungua mtoto mwenye ulemavu, ambapo Kamanda wa Polisi mkoani humo Khamis Issah, akawasihi wanawake kuwa na huruma na watoto na kuhoji kama mzazi amejinyonga mtoto aliyemuacha atalelewa na nani.

Kamanda Issah ameongeza kuwa kama kuna mtu ana mpango wa kujinyonga basi haina haja ya yeye kushika ujauzito na kisha kujinyonga na kuacha mtoto, na kuwasihi wazazi kujilinda kwa ajili ya watoto wao.

“Wewe unayejinyonga na una watoto, unajinyonga kwa sababu gani, watoto bado wadogo watamtegemea nani, kama wewe una mawazo ya kujinyonga basi usiwatafute hao watoto wewe ujinyonge peke yako, kama wewe usingewatafuta wasingekuwa na wazazi,” amesema ACP Issah
What Is Postpartum Depression?

Postpartum depression (PPD) is a complex mix of physical, emotional, and behavioral changes that happen in some women after giving birth. According to the DSM-5, a manual used to diagnose mental disorders, PPD is a form of major depression that begins within 4 weeks after delivery. The diagnosis of postpartum depression is based not only on the length of time between delivery and onset but on the severity of the depression.

Postpartum depression is linked to chemical, social, and psychological changes that happen when having a baby. The term describes a range of physical and emotional changes that many new mothers experience. PPD can be treated with medication and counseling.

The chemical changes involve a rapid drop in hormones after delivery. The actual link between this drop and depression is still not clear. But what is known is that the levels of estrogen and progesterone, the female reproductive hormones, increase tenfold during pregnancy. Then, they drop sharply after delivery. By 3 days after a woman gives birth, the levels of these hormones drop back to what they were before pregnancy.

In addition to these chemical changes, the social and psychological changes of having a baby create an increased risk of depression.

Most new mothers experience the "baby blues" after delivery. About 1 out of every 10 of these women will develop a more severe and longer-lasting depression after delivery. About 1 in 1,000 women develop a more serious condition called postpartum psychosis.

Dads aren’t immune. Research shows that about 1 in 10 new fathers get depression during the year their child is born.

Postpartum Depression Signs and Symptoms

Symptoms of postpartum depression can be hard to detect. Many women have these symptoms following childbirth:

  • Trouble sleeping
  • Appetite changes
  • Severe fatigue
  • Lower libido
  • Frequent mood changes

With PPD, these come along with other symptoms of major depression, which aren’t typical after childbirth, and may include:

  • Being uninterested in your baby or feeling like you’re not bonding with them
  • Crying all the time, often for no reason
  • Depressed mood
  • Severe anger and crankiness
  • Loss of pleasure
  • Feelings of worthlessness, hopelessness, and helplessness
  • Thoughts of death or suicide
  • Thoughts of hurting someone else
  • Trouble concentrating or making decisions
 
Mwanamke mmoja mkazi wa Njombe, amejinyonga baada ya kujifungua mtoto mwenye ulemavu, ambapo Kamanda wa Polisi mkoani humo Khamis Issah, akawasihi wanawake kuwa na huruma na watoto na kuhoji kama mzazi amejinyonga mtoto aliyemuacha atalelewa na nani.

Kamanda Issah ameongeza kuwa kama kuna mtu ana mpango wa kujinyonga basi haina haja ya yeye kushika ujauzito na kisha kujinyonga na kuacha mtoto, na kuwasihi wazazi kujilinda kwa ajili ya watoto wao.

“Wewe unayejinyonga na una watoto, unajinyonga kwa sababu gani, watoto bado wadogo watamtegemea nani, kama wewe una mawazo ya kujinyonga basi usiwatafute hao watoto wewe ujinyonge peke yako, kama wewe usingewatafuta wasingekuwa na wazazi,” amesema ACP Issah
Hawa jamaa kujinyonga kwao ni rahisi sana kuliko kunywa maji
 
Kamanda Issah ameongeza kuwa kama kuna mtu ana mpango wa kujinyonga basi haina haja ya yeye kushika ujauzito na kisha kujinyonga na kuacha mtoto
Hapa anamaanisha wenye haki ya kujinyonga ni wasiokuwa na watoto
 
Nahisi elimu ni ndogo kwa baadhi ya jamii ana amini akiwa na mtoto mlemavu ni mkosi jamii itamtenga.Huenda aliwaza hivyo akaamua afanye hayo ina huzunisha kwa kwel
 
“Wewe unayejinyonga na una watoto, unajinyonga kwa sababu gani, watoto bado wadogo watamtegemea nani, kama wewe una mawazo ya kujinyonga basi usiwatafute hao watoto wewe ujinyonge peke yako, kama wewe usingewatafuta wasingekuwa na wazazi,” amesema ACP Issah
Lugha gongana
 
Kujiua ni ubinafsi mkubwa Sana.Umezaliwa na unaishi kwa ajili yako, familia,nchi na dunia kwa ujumla.Ukijiua haya makundi mengine hujayatendea haki kabisa
 
Kujiua ni ubinafsi mkubwa Sana.Umezaliwa na unaishi kwa ajili yako, familia,nchi na dunia kwa ujumla.Ukijiua haya makundi mengine hujayatendea haki kabisa

Kabisa yani.
 
Back
Top Bottom