Ajinyonga baada ya mzozo wa chapati na shangazi yake

Ajinyonga baada ya mzozo wa chapati na shangazi yake

Watu wa kujinyonga hujitoa uhai kwa sababu zozote, yaani kumgombeza kidogo tu basi kitanzi.
Kwa matukio ya kujinyonga Tanzania, ni vigumu kwa mimi kufuatilia kisa cha kila mmoja, ukizingatia media zenu huwa ovyoo sana likija suala la kutoa habari, wao wapo wapo tu kazi kusifia wakuu serikalini.

We unaangalia media gani zaidi ya clouds tv ? Clouds is not a reputable or reliable tv kuangalia news sawa sawa na citizen tv tu ...
 
We unaangalia media gani zaidi ya clouds tv ? Clouds is not a reputable or reliable tv kuangalia news sawa sawa na citizen tv tu ...

Tafuta mke kutoka Iringa ndio uyaone kwa Wahehe, wao kujinyonga ni sifa.
 
Tafuta mke kutoka Iringa ndio uyaone kwa Wahehe, wao kujinyonga ni sifa.

Nilichogundua ww sio m254 we ni mtz ..alafu izo story za wahehe kujinyonga ilikuwa ni myth ya zamani sana sanaaa tenaaa
 
Back
Top Bottom