Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watu wa kujinyonga hujitoa uhai kwa sababu zozote, yaani kumgombeza kidogo tu basi kitanzi.
Kwa matukio ya kujinyonga Tanzania, ni vigumu kwa mimi kufuatilia kisa cha kila mmoja, ukizingatia media zenu huwa ovyoo sana likija suala la kutoa habari, wao wapo wapo tu kazi kusifia wakuu serikalini.
We unaangalia media gani zaidi ya clouds tv ? Clouds is not a reputable or reliable tv kuangalia news sawa sawa na citizen tv tu ...
Tafuta mke kutoka Iringa ndio uyaone kwa Wahehe, wao kujinyonga ni sifa.
Huyo kajiua sio kuuliwa. Kuna mmoja alimuua kakake kwa sababu ya ugali.
Huyo kajiua sio kuuliwa. Kuna mmoja alimuua kakake kwa sababu ya ugali.
SwAli ninalojiuliza dem wa 20yrs alikuwa anaishi na shangaziye kwa nini?
Mbona unachukia takwimu hivi lakini umbea wa radio unauamini sana? Una kasoro dadaEmbu potelea mbali na vitakwimu vyako vya ktk internet ....
Ni mkubwa wa kuishi na shangazi. Inaonekana walikuwA wanazozana Mara kwa Mara. Pengine alikuwa anamnyima chakula jambo lililopelekea yeye kutumia hela za chajio
Hapana kwetu sisi miaka ishirini bado mdogo kwani wewe umeanza kuishi pekeyako ukiwa na miaka mingapi?Ni mkubwa wa kuishi na shangazi. Inaonekana walikuwA wanazozana Mara kwa Mara. Pengine alikuwa anamnyima chakula jambo lililopelekea yeye kutumia hela za chajio
Ukishamaliza form 4(17 yrs) unaenda kufanya kazi unajilipia university/collegeHapana kwetu sisi miaka ishirini bado mdogo kwani wewe umeanza kuishi pekeyako ukiwa na miaka mingapi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Inategemea may be wakati wako kulikuwa na hizo opportunity za Kazi lakini saizi hakuna tenaUkishamaliza form 4(17 yrs) unaenda kufanya kazi unajilipia university/college
Wewe hebu usifananishe huo upuuzi wa chapati na hizi kitu zetu. Hawa wamejinyonga kwa sababu za msingi na walikuwa na hiyo haki kabisa, sasa huyo binti anajinyonga kisa kaulizwa why amekula chapati na maharage badala ya kuzipika.Utayaskia wapi wakati mwenyewe hata nchi yako huijui, unaishi tu sehemu moja ilhali matukio yanatendeka maeneo mengi
Fuata hizi links chache tena za matukio ya hivi majuzi tu ya kujinyonga
Askari mstaafu JWTZ ajinyonga kwa shuka hadi kufa
Mtoto mwenye umri wa miaka kumi na nne ajinyonga kisa mama
Mke wa mchungaji Ajinyonga kanisani
Mtu mmoja ajinyonga nyuma ya jengo la bodi ya korosho mkoani Mtwara. RPC akanusha tukio kuhusiana na korosho - JamiiForums
Mwanafunzi wa Form 6 ajinyonga, siku moja kabla ya Mtihani wa Taifa – Millardayo.com
Mkaguzi ajinyonga kwa kipande cha chandarua
Ajinyonga kwa kuzuiwa mkesha wa Mwaka Mpya
Ajinyonga baada ya kumkumbuka mkewe
Binti ajinyonga akikwepa aibu | ZanzibarLeo
MWALIM MKUU KAKONKO AJINYONGA AKIWA OFISINI KWAKE,AANDIKA UJUMBE MZITO - MICHUZI BLOG
http://www.unistoretz.com/magazine/...a-tanzania-medical-student-committed-suicide/
Mbona unachukia takwimu hivi lakini umbea wa radio unauamini sana? Una kasoro dada