Ajinyonga ukweni baada ya kunyimwa mke

Kumbe ni Kwa Kenya,vizuri sana
 
Kqaheri
 
Marehemu ni Nyok**** mbili!!!angemtafuna Mama mkwe!!
 
Kichwa cha habari yafaa kibadilishwe kiwe Familia yanyonga mkwe wao mwingine
 
Mkuu mpwayungu village hebu pitia huku uone huyu mwanaume mpuuzi alivyotuaibisha wanaume.
 
Mkuu yaani wewe ni mimi kabisa aisee!
 
Kufa kufaana, ameacha jimbo lipo wazi atakae naaende
Nani anapenda kufa mkuu. Hakuna mtu atatamani tena kuoa/kukaa na mwanamke kutoka hiyo familia ya KIFO.
 
Huyu mwanaume ngoja afe tu.....huyu ni zaidi ya mbwa koko. Kwani alichanjiwa kuwa na manamke mmoja tu hapa duniani?
 
Ona sasa mchizi alichofanya.
KATAA NDOA.
Mwanaume wa pili anajinyonga kwenye hiyo nyumba,kuna shida hapo zisizoonekana endeleeni KUOA tu Familia nyingine ndiyo hivyo makafara hayaishi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…