Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe ni Kwa Kenya,vizuri sanaMwanaume mmoja ambaye jina lake halijafahamika amejinyonga na kufariki dunia ukweni kwake baada ya juhudi za kupatanisha na mke wake kugonga mwamba.
Mwanaume huyo alikuwa amekwenda ukweni kwake Kijiji cha Kolondo Mashariki mwa Homa Bay, ambapo inaelezwa lengo lake ilikuwa ni kumrudisha mke wake aliyekuwa amerudi kwa wazazi wake kutokana na mtafaruku wa kifamilia.
Hata hiyo, mwanaume huyo alijinyonga baada ya kuona juhudi za kupatanishwa na mke wake ambaye walitengana zigonga mwamba.
Taarifa zinasema kuwa awali, mwanaume huyo aliamua kuondoka na kwenda kusikojulikana, lakini baadaye alirejea usiku kimyakimya nyumbani hapo ukweni kisha kujinyonga.
Chifu wa eneo hilo, Perez Okoth amethibitisha kutokea tukio hilo, akisema mwili wa mwanaume huyo ulikutwa ukining'inia kwenye mti ulioko karibu na nyumba ya mama mkwe wake Jumapili, Machi 12 asubuhi.
"Baada ya kutofautiana na mkewe ambaye alirudi nyumbani kwao, aliamua kumfuata ili kusuluhisha tofauti hizo ili waweze kuungana tena kama familia. Hata hivyo, mazungumzo yalionekana kugonga mwamba," imeelezwa.
Sio tukio la kwanza kulingana na maelezo ya wanakijiji. Tukio hilo ni la pili kuripotiwa katika nyumba hiyo. Inadaiwa kuwa mwanaume mwingine pia aliwahi kujitoa uhai nyumbani humo katika hali kama hiyo.
Chifu wa eneo hilo hata hivyo alitoa wito kwa familia kutafuta njia mwafaka za kutatua masuala ya kifamilia ili kuepukana na matukio kama hayo.
Mwili wa marehemu ulipelekwa mochwari katika Hospitali ya Kaunti Ndogo ya Rachuonyo kusubiri uchunguzi wa polisi.
Chanzo: Mwananchi
====
MY TAKE
Huyu mwanaume amekufa kifo cha kipumbavu sana na wala hapaswi kuonewa huruma. Hawa wanawake wote waliojaa mtaani, tena pisi kali, alishindwa kujikamatia mmoja? Mpuuzi mkubwa!
KqaheriMwanaume mmoja ambaye jina lake halijafahamika amejinyonga na kufariki dunia ukweni kwake baada ya juhudi za kupatanisha na mke wake kugonga mwamba.

KATAA NDOAWazee wa kataa ndoa mnasemaje hapa
Nije nikuweke sawa bibieWalahi mmevurugwa!!!
Mjiweke kwanza sawa maana mmevurugwa hadi sio poa.Nije nikuweke sawa bibie
Kichwa cha habari yafaa kibadilishwe kiwe Familia yanyonga mkwe wao mwingineMwanaume mmoja ambaye jina lake halijafahamika amejinyonga na kufariki dunia ukweni kwake baada ya juhudi za kupatanisha na mke wake kugonga mwamba.
Mwanaume huyo alikuwa amekwenda ukweni kwake Kijiji cha Kolondo Mashariki mwa Homa Bay, ambapo inaelezwa lengo lake ilikuwa ni kumrudisha mke wake aliyekuwa amerudi kwa wazazi wake kutokana na mtafaruku wa kifamilia.
Hata hiyo, mwanaume huyo alijinyonga baada ya kuona juhudi za kupatanishwa na mke wake ambaye walitengana zikigonga mwamba.
Taarifa zinasema kuwa awali, mwanaume huyo aliamua kuondoka na kwenda kusikojulikana, lakini baadaye alirejea usiku kimyakimya nyumbani hapo ukweni kisha kujinyonga.
Chifu wa eneo hilo, Perez Okoth amethibitisha kutokea tukio hilo, akisema mwili wa mwanaume huyo ulikutwa ukining'inia kwenye mti ulioko karibu na nyumba ya mama mkwe wake Jumapili, Machi 12 asubuhi.
"Baada ya kutofautiana na mkewe ambaye alirudi nyumbani kwao, aliamua kumfuata ili kusuluhisha tofauti hizo ili waweze kuungana tena kama familia. Hata hivyo, mazungumzo yalionekana kugonga mwamba," imeelezwa.
Sio tukio la kwanza kulingana na maelezo ya wanakijiji. Tukio hilo ni la pili kuripotiwa katika nyumba hiyo. Inadaiwa kuwa mwanaume mwingine pia aliwahi kujitoa uhai nyumbani humo katika hali kama hiyo.
Chifu wa eneo hilo hata hivyo alitoa wito kwa familia kutafuta njia mwafaka za kutatua masuala ya kifamilia ili kuepukana na matukio kama hayo.
Mwili wa marehemu ulipelekwa mochwari katika Hospitali ya Kaunti Ndogo ya Rachuonyo kusubiri uchunguzi wa polisi.
Chanzo: Mwananchi
====
MY TAKE
Huyu mwanaume amekufa kifo cha kipumbavu sana na wala hapaswi kuonewa huruma. Hawa wanawake wote waliojaa mtaani, tena pisi kali, alishindwa kujikamatia mmoja? Mpuuzi mkubwa!
Mkuu mpwayungu village hebu pitia huku uone huyu mwanaume mpuuzi alivyotuaibisha wanaume.Mwanaume mmoja ambaye jina lake halijafahamika amejinyonga na kufariki dunia ukweni kwake baada ya juhudi za kupatanisha na mke wake kugonga mwamba.
Mwanaume huyo alikuwa amekwenda ukweni kwake Kijiji cha Kolondo Mashariki mwa Homa Bay, ambapo inaelezwa lengo lake ilikuwa ni kumrudisha mke wake aliyekuwa amerudi kwa wazazi wake kutokana na mtafaruku wa kifamilia.
Hata hiyo, mwanaume huyo alijinyonga baada ya kuona juhudi za kupatanishwa na mke wake ambaye walitengana zikigonga mwamba.
Taarifa zinasema kuwa awali, mwanaume huyo aliamua kuondoka na kwenda kusikojulikana, lakini baadaye alirejea usiku kimyakimya nyumbani hapo ukweni kisha kujinyonga.
Chifu wa eneo hilo, Perez Okoth amethibitisha kutokea tukio hilo, akisema mwili wa mwanaume huyo ulikutwa ukining'inia kwenye mti ulioko karibu na nyumba ya mama mkwe wake Jumapili, Machi 12 asubuhi.
"Baada ya kutofautiana na mkewe ambaye alirudi nyumbani kwao, aliamua kumfuata ili kusuluhisha tofauti hizo ili waweze kuungana tena kama familia. Hata hivyo, mazungumzo yalionekana kugonga mwamba," imeelezwa.
Sio tukio la kwanza kulingana na maelezo ya wanakijiji. Tukio hilo ni la pili kuripotiwa katika nyumba hiyo. Inadaiwa kuwa mwanaume mwingine pia aliwahi kujitoa uhai nyumbani humo katika hali kama hiyo.
Chifu wa eneo hilo hata hivyo alitoa wito kwa familia kutafuta njia mwafaka za kutatua masuala ya kifamilia ili kuepukana na matukio kama hayo.
Mwili wa marehemu ulipelekwa mochwari katika Hospitali ya Kaunti Ndogo ya Rachuonyo kusubiri uchunguzi wa polisi.
Chanzo: Mwananchi
====
MY TAKE
Huyu mwanaume amekufa kifo cha kipumbavu sana na wala hapaswi kuonewa huruma. Hawa wanawake wote waliojaa mtaani, tena pisi kali, alishindwa kujikamatia mmoja? Mpuuzi mkubwa!
Mkuu yaani wewe ni mimi kabisa aisee!Mnateswa na mapenzi kwa sababu mnataka mademu wanaosifiwa na kila mtu kwamba ni mzuri sana
Kuna hii class ya medium ladies huwa sio wazuri sana wala wabaya sana
These are my thing coz sio expensive sana na mara nyingi wanajiheshimu cz competition sio kubwa kama hao wenu.
Tunawekana wote... win winMjiweke kwanza sawa maana mmevurugwa hadi sio poa.