Liverpool VPN
JF-Expert Member
- Aug 29, 2020
- 6,958
- 16,358
Aendee Dom tuu kabla ya deadline, jamaa anaongea utadhani amemuajiri huyo mtu wa mamlaka humu JF
Niliwapigia simu wakaniambia unaweka OG hayo ya ku-certify hawana haja nayo
Same as me, na leo tetesi za GPA wamekataa pia, kuwa hamna kitu kama hicho kwenye tangazo.
Sawa msemajiNawakumbusha msisahau kufanya CERTIFICATION ya vyeti vyenu, mtakuja kunishukuru
Ajira portal n lazima u-certify huku tamisemi niliwapigia cm wakasema hawahitaji hayoKwenye zile ajira za TRA nilimuombea mtu.
The worst thing hakuitwa kwenye interview na sababu walisema ni "HAKU ATTACH CERTIFIED COPY"
sisi tuli scan original certificates then tukatuma kwenye portal.
Kumbe ilibidi Tuscan na ku certify.
Then TAKE CARE AND ALL RESPONSIBILITIES AND OUTCOME OF YOUR DECISIONS.
#YNWA
Even If ww certify utakuja kulia BwaMdogoAjira portal n lazima u-certify huku tamisemi niliwapigia cm wakasema hawahitaji hayo
Usiruhusu "ROOM FOR ERROR"Ajira portal n lazima u-certify huku tamisemi niliwapigia cm wakasema hawahitaji hayo
Kwahy huduma kwa wateja atakuwa anachagua wa kuwaambia wasiweke mhuri na wengine waweke mhuri ππUsiruhusu "ROOM FOR ERROR"
Mkiwa wengi unadhani watatumia njia gani kuwapunguza?
#YNWA
Asubuhi njema.Kwahy huduma kwa wateja atakuwa anachagua wa kuwaambia wasiweke mhuri na wengine waweke mhuri ππ
Muache ajifanye jeuri kuna watu wanaomba tokea 2016 lkn hawapati coz hawakufanya certication ya vyetiEven If ww certify utakuja kulia BwaMdogo
Kwahy huduma kwa wateja atakuwa anachagua wa kuwaambia wasiweke mhuri na wengine waweke mhuri ππ
Nchi ngumu sana hii mzee wangu ππAsubuhi njema.
#YNWA
Hakuna aliyejifanya jeuri, mambo ni kuelekezana tuu, SIMPLE.Muache ajifanye jeuri kuna watu wanaomba tokea 2016 lkn hawapati coz hawakufanya certication ya vyeti
ππ Mkono mtupu haulambwi, n mtu namfanyia application, nitajitahidi kufanya inavotakiwa kwa upande wangu.Ikibidi wahi Tamisemi katumie mrungula, utakuja nishukuru,
Hata mimi nafanya inagoma mkuuKuna mtu anaweza kuingia kwenye account sasa hivi?
Tapeli hili, kamata mwiziiiKWA YEYOTE ANAEMBIWA
1.ACCOUNT ALREADY EXIST
2. UNAUTHORISED USER
3. BAD CREDENTIAL
4. NIDA NUMBER ALREADY EXIST
5. WANAOHITAJI KUMALIZA APPLICATION
6. WANAOTAKA KUFUNGUA ACCOUNT.
7. ALIYESAHAU PASSWORD ACCOUNT.
KARIBU TUMALIZE MUDA BADO UNGALI UPO.
UMBALI SI TATIZO
NITAFUTE 0621060153
whatsap 0753070139
KARIBU SANA.
GHARAMA NI NDOGO.
Ndugu tusiharibiane biashara mkuu ww km ni unatapeli watu ni wewe unajua nimesaidia wangapi unajuafanyia watu wangapi application acha kuwa na mawazo finyu ya namna hiyo ndugu. Think bigTapeli hili, kamata mwiziii
Msaaada wakuuJamn mm ndo naanza kila nkijisajir kwenye password inaleta hii nifanyaje kwenye passwordView attachment 2208308
Password iwe na capital na small latter na namba na alama za uandishi mfamo. Chlor17@Jamn mm ndo naanza kila nkijisajir kwenye password inaleta hii nifanyaje kwenye passwordView attachment 2208308