Ajira 17,412 kwa kada za Elimu na Afya zatangazwa. Wananchi wenye sifa wahimizwa kuomba nafasi

Ajira 17,412 kwa kada za Elimu na Afya zatangazwa. Wananchi wenye sifa wahimizwa kuomba nafasi

Jmani mlofanikiwa kulogin
Mmmetumia email au namba ya nida
Mna kila nikiingia naambiwa unauthilorised user?
 
Na kama unahitaji taarifa kutoka mamlaka, ungeenda Dodoma, zaidi uko hapa. Tunakujibu, unaleta dharau.
Aendee Dom tuu kabla ya deadline, jamaa anaongea utadhani amemuajiri huyo mtu wa mamlaka humu JF
Bora tu uhakiki si elf 5 tu.. shida ipo wapi.. maana hawachelewi kuzuia Maombi
Niliwapigia simu wakaniambia unaweka OG hayo ya ku-certify hawana haja nayo
 
Yani hapa walimu nitalenga SAA NNE jumapili nianze Kuomba maana j3 asubuhi sipati picha
 
mwenye ana shida na kuregester nimsajilie chap halafu mengine aendelee mwenyewe mi nishamaliza
Screenshot_20220423-012549.jpg
 
Aendee Dom tuu kabla ya deadline, jamaa anaongea utadhani amemuajiri huyo mtu wa mamlaka humu JF

Niliwapigia simu wakaniambia unaweka OG hayo ya ku-certify hawana haja nayo
Same as me, na leo tetesi za GPA wamekataa pia, kuwa hamna kitu kama hicho kwenye tangazo.
 
Jamani msaada kwenye NTA level kwa mtu wa certificate
 
Back
Top Bottom