Mbaga Jr
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 29,028
- 69,666
Hizo kb zinatosha kabisa cha msingi pdf iwe safiNauliza jinsi ya kuongeza ukubwa wa mb kwenye cheti in pdf. Kuna anaejua anielekeze maana vyeti vyangu vyote vipo below 300 kb
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizo kb zinatosha kabisa cha msingi pdf iwe safiNauliza jinsi ya kuongeza ukubwa wa mb kwenye cheti in pdf. Kuna anaejua anielekeze maana vyeti vyangu vyote vipo below 300 kb
We jamaa hujui kitu afu ni mbishi! Ongeza basi kama unaweza. Idiot msomi wewe!Hayo ni maneno yako au ndouhalisia??. Nahitaji taarifa kutoka mamlaka husika sio unagushi.
Na kama unahitaji taarifa kutoka mamlaka, ungeenda Dodoma, zaidi uko hapa. Tunakujibu, unaleta dharau.Hayo ni maneno yako au ndouhalisia??. Nahitaji taarifa kutoka mamlaka husika sio unagushi.
Sawa.. hakuna shidaIngekuwa na ulazima wangesema kwenye mwongozo.
Bora tu uhakiki si elf 5 tu.. shida ipo wapi.. maana hawachelewi kuzuia MaombiHuu ndo muda wa kuona watu hawakutakii mema kwenye hizi ajira, kwan kwenye hy pdf hakuna maelekezo.? Mm nmeshindwa kufungua hy pdf.
Jmani mlofanikiwa kulogin
Mmmetumia email au namba ya nida
Mna kila nikiingia naambiwa unauthilorised user?
Endelea kusubiri taarifa kutoka mamlaka husikaHayo ni maneno yako au ndouhalisia??. Nahitaji taarifa kutoka mamlaka husika sio unagushi.
Aendee Dom tuu kabla ya deadline, jamaa anaongea utadhani amemuajiri huyo mtu wa mamlaka humu JFNa kama unahitaji taarifa kutoka mamlaka, ungeenda Dodoma, zaidi uko hapa. Tunakujibu, unaleta dharau.
Niliwapigia simu wakaniambia unaweka OG hayo ya ku-certify hawana haja nayoBora tu uhakiki si elf 5 tu.. shida ipo wapi.. maana hawachelewi kuzuia Maombi
JAMANI MBNA SISI WATENDAJI TUMESAULIKA KABISA ASEEEEEndelea kusubiri taarifa kutoka mamlaka husika
Cjaelewa, watendaji wa serikali za mitaa au.? Mnataka barua zipite kwenu ili mle 5000 za wanyonge 😂😂😂JAMANI MBNA SISI WATENDAJI TUMESAULIKA KABISA ASEEEE
Nisaidie kuattach Cheti cha chuo na transcripts na ule mwaka wa kumaliza mkuu.[emoji120][emoji120] Huku imegoma tangu janamwenye ana shida na kuregester nimsajilie chap halafu mengine aendelee mwenyewe mi nishamalizaView attachment 2197538
Viambatanisho vingine ni birth certificate na barua au kuna nyingine ya kuweka.?mwenye ana shida na kuregester nimsajilie chap halafu mengine aendelee mwenyewe mi nishamalizaView attachment 2197538
Kuna barua ya kujitolea piaViambatanisho vingine ni birth certificate na barua au kuna nyingine ya kuweka.?
Same as me, na leo tetesi za GPA wamekataa pia, kuwa hamna kitu kama hicho kwenye tangazo.Aendee Dom tuu kabla ya deadline, jamaa anaongea utadhani amemuajiri huyo mtu wa mamlaka humu JF
Niliwapigia simu wakaniambia unaweka OG hayo ya ku-certify hawana haja nayo
ko watuajilii wote bacSame as me, na leo tetesi za GPA wamekataa pia, kuwa hamna kitu kama hicho kwenye tangazo.