Ajira, Ajira, kwa wadau wa Chit-Chat wanaitajika madereva wa Bajaji

Ritz

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2011
Posts
57,035
Reaction score
46,479
Wanabodi,

Nimeona nianze na nyie jamaa zangu wa Chit-Chat kuwatangazia ajira.

Kuna mradi nimeanzisha wa usafiri wa bajaji kutokana na tatizo la foleni kwenye huu mji wetu wa Dar es Salaam.

Kwa kuanzia kuna bajaji pc's 50 kutoka Italy wanaitajika madereva kwa aliyekuwa tayari basi tuwasiliane kwa PM kuhusu maslahi.
 
Afu nakushauri uanze na wale vijana wa lumumba, wanaolipwa buku 7 kila post hizi bajaj zako zitawasaidia sana..
 
Dah!
Dili hili!
Mkuu C.T.U,hebu changamkia tenda!
 
Last edited by a moderator:
Kumbe wa mikoani haituhusu..!
 
Afu nakushauri uanze na wale vijana wa lumumba, wanaolipwa buku 7 kila post hizi bajaj zako zitawasaidia sana..

Wale wa lumumba walipewa tenda ya kuchoma mahindi na mishikaki ya mia mia pale kariakoo.
Sasa wakiiona na hii ya bajaji watafurahi sana.
 
asante sana mkuu Ritz kwa project nzuri sana ya kuondoa foleni mujini..
 
Last edited by a moderator:
Hivi CC ndio Jukwaa la Kazi na Tenda siku hizi??
 
Kutoka malori ya mafuta hadi bajaji mtashindwa nini kuuza poda. hizo hela haziwatoshi loh.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…