CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,304
- 12,999
Familia ya hapa wanachat 24/7.
Na kazi pia tunafanya 24/7....
Familia ya hapa wanachat 24/7.
Haya tunasubiri.Huu mradi unaanza na Dar baadae Arusha na Mwanza.
Kote kote nahusika.zikija nyingine zitawafikia huko wewe ni mwanza au arusha..
mtu mwenye kazi zake ambaye yuko busy kufuatilia maisha yake hata siku moja haamki kutoka kitandani akiwaza kuwa leo nim mention nani kwenye jukwaa la chit chat
Wanabodi,
Nimeona nianze na nyie jamaa zangu wa Chit-Chat kuwatangazia ajira.
Kuna mradi nimeanzisha wa usafiri wa bajaji kutokana na tatizo la foleni kwenye huu mji wetu wa Dar es Salaam.
Kwa kuanzia kuna bajaji pc's 50 kutoka Italy wanaitajika madereva kwa aliyekuwa tayari basi tuwasiliane kwa PM kuhusu maslahi.
Afu nakushauri uanze na wale vijana wa lumumba, wanaolipwa buku 7 kila post hizi bajaj zako zitawasaidia sana..
kweli wangeachana na uchwara wanaofanya kwenye mitandao. Pia watu kama hawa hawawezi kujituma kufanya kazi wamezoea kukaa na kula tu mwisho wake lumumba wakishindwa kuwalipa wanaishia kulelewa mashuga mami na dady
Kote kote nahusika.
mtu mwenye kazi zake ambaye yuko busy kufuatilia maisha yake hata siku moja haamki kutoka kitandani akiwaza kuwa leo nim mention nani kwenye jukwaa la chit chat
Hapo swadaktabasi usikonde bosi ritz atasababisha men..
View attachment 91851 Ritz nimeku pm ninauzoefu wa kazi hii zaidi ya miaka kumi (kama unavyo niona hapo pichani)
vp mshahara ?
Madame B,
Nitafutie vijana ajira za Bajaji.
We Madame B wewe!Mzibua oil chafu C.T.U,
Mnyonya bomba Yo Yo,
Mpima oil appoh,
Wa kumwaga oil chafu Matola.
Dereva na tajiri Madame B mwenyewe.
Afu Ritz nimekumiss ujue.
Ukimuona Nyani Ngabu na zomba, waambie nawasalimu.
Anakusalimu mdogo wangu Passion Lady.