Ajira, Ajira, kwa wadau wa Chit-Chat wanaitajika madereva wa Bajaji

mtu mwenye kazi zake ambaye yuko busy kufuatilia maisha yake hata siku moja haamki kutoka kitandani akiwaza kuwa leo nim mention nani kwenye jukwaa la chit chat

Ritz kasema kuwa we ndo wa kwanza ku m pm. ushamtumia CV yako?
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Afu nakushauri uanze na wale vijana wa lumumba, wanaolipwa buku 7 kila post hizi bajaj zako zitawasaidia sana..

kweli wangeachana na uchwara wanaofanya kwenye mitandao. Pia watu kama hawa hawawezi kujituma kufanya kazi wamezoea kukaa na kula tu mwisho wake lumumba wakishindwa kuwalipa wanaishia kulelewa mashuga mami na dady
 
oops.... hili ni jukwaaa gani kwani..
 
Ritz nimeku pm ninauzoefu wa kazi hii zaidi ya miaka kumi (kama unavyo niona hapo pichani)
vp mshahara ?
 
Last edited by a moderator:
mtu mwenye kazi zake ambaye yuko busy kufuatilia maisha yake hata siku moja haamki kutoka kitandani akiwaza kuwa leo nim mention nani kwenye jukwaa la chit chat

Mbona mkali hivyo kaka? Changamkia ajira hii. Mie mwenyewe nasaka scanner hapa nitume kwenye pm na kaleseni kangu pia.
Ritz i hope hizi bajaj ni sehemu ya zile ajira zetu alituahidi baba mwenye nyumba...
 
Last edited by a moderator:
Mbona mkali hivyo kaka? Changamkia ajira hii. Mie mwenyewe nasaka scanner hapa nitume kwenye pm na kaleseni kangu pia.
Ritz i hope hizi bajaj ni sehemu ya zile ajira zetu alituahidi baba mwenye nyumba...

King'asti kazi ya jeshi unamwachia nani?
 
Last edited by a moderator:
Jamani changamkieni ajira hizi.
 
Madame B,
Nitafutie vijana ajira za Bajaji.
 
Last edited by a moderator:
Madame B,
Nitafutie vijana ajira za Bajaji.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…