dada mie sijambo
uliadimika sana umekuja na zawadi?
halafu huyo Ritz ndio nani tena
hebu ajitambulishe niweze kumjua uzuri!!
naoga nakuja kwa interview sasa hivi
Watu wengine bwana sijui mkoje,ndio nini kunivunja mbavu mwana wa mwezio usiku wa manane..??
Mzibua oil chafu C.T.U,
Mnyonya bomba Yo Yo,
Mpima oil appoh,
Wa kumwaga oil chafu Matola.
Dereva na tajiri Madame B mwenyewe.
Afu Ritz nimekumiss ujue.
Ukimuona Nyani Ngabu na zomba, waambie nawasalimu.
Anakusalimu mdogo wangu Passion Lady.