Ajira ambazo zipo wazi hadi sasa Duniani kwa watoto wetu

Ajira ambazo zipo wazi hadi sasa Duniani kwa watoto wetu

sikuhizi watoto wengi wanacheza ndani, tablets na smartphones ndyo vyombo vya michezo yao...... Kutwa wanacheza games na kuangalia katuni
 
Hello!

Naongelea ajira wazi kwa wazazi hadi sasa ambazo zipo wazi hadi sasa duniani kwa watoto wetu. Usimlazimishe mtoto wako apate A class ambazo hazina maana mbeleni maisha mwake; Cheki na hizi ajira huwa hazijai.

1. Boxing: Ajira hii kama unamuona mtoto wako anakipaji cha hii kitu anza kumfundisha mwanao. Boxing ni hela sana duniani kote hamna mchezo unafika hapa kwa hela.

2. Mpira wa miguu: Kama mwanao anakipaji na hii kitu mkazanie tu hamna namna hata PHD holder hafikii kwa mshahahara wa hawa jamaa. Na michezo mingine inatoa mshahara mikubwa n.b basketball.

3. Sanaa: Hapa namaanisha mziki, uagizaji na mambo mengi sana yapo ndani ya sanaa yana hela.

4. Ufundi: Hapa namaanisha kutengeneza bidhaa mpya kama kushona nguo n.k. Pia ufundi wa vitu ambavyo wa vitu vimeharibika kama tv, radio, phones, cars na mengineyo mengi.

Yangu hayo kama una la kuongezea ni bando lako tu karibu.
Namba (01) nilimkataza mwanangu, now ana miaka 17,nashukuru anapenda mpira hasa, na shule anasoma form 4
 
Lazima ujute sana.
Nipo kwenye udaktari kwa sasa😂😂 mpira ndio kazi rahisi kwangu na ndio kitu rahisi kwangu anayo yafanya KI AZIZ Mimi niliyafanya Sanaa..

Nilitabiliwa makubwa Sana na ingekuchukua sekunde kadhaa kugundua kipaji Cha kipekee alicho kuweka mungu kwenye mguu wangu wa kushoto mpira ukiwa mguuni kwangu...

Ndio ivyo sisi tumecheza mpira enzi za FAT (TANZANIA FOOTBALL FAIRULE)
 
Back
Top Bottom