Mzalendo120
JF-Expert Member
- Jul 2, 2022
- 1,842
- 2,410
Kazi ya kupiga kura pia watu wanabembelezwa wengine wanalipwa wakapige kura
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
FAT ilikuwa ya ovyo sna ashukuriwe Leodga Chila Tenga kabidilisha sana taswira ya mpira nchini.THE GREAT LOSS IN LIFE IS TO LET YOUR TALENT DIE WHILE YOU'RE STILL ALIVE- 2PAC OMAR SHAKUR
Kazi rahisi kwangu ilikua Ni mpira wa miguu Ila Mimi nili udharau mpira wa miguu
(namzungumzia miaka ya Zamani TFF ikiitwa FAT)
Umenikumbusha enzi zile kwenye wimbo wa ROMA MKATOLIKI_TANZANIA alipata kusema kwenye moja ya stanza zake..FAT ilikuwa ya ovyo sna ashukuriwe Leodga Chila Tenga kabidilisha sana taswira ya mpira nchini.
Namaanisha mtoto asome elimu ya darasani. Ila vipaji pia kama mwanao anacho mwendeleze na kipaji chake.Watu wangapi wamefanikiwa huko kwa viwango unavyoviongelea? Na wangapi waliofeli kufikia hivyo viwango? Ni aslimia 0.1 kati ya 99.9. Shule sio kupata kazi tu. Bali pia kuchochea ushindani. Kila kitu ni ushindani hapa duniani.
Vijana wengi tena wadogo waliosoma hawana ajira au kipato cha kueleweka wengi wao wanasumbuliwa na vidonda vya tumbo au acid tumboni, sukari na pressure wengine wameingia kwenye ulevi mbaya na sugu madawa ya kulevya na kudanga. Hii ni baada ya kuja mtaani na kuona walichosoma ni kigumu sana kukiweka katika maisha ya kawaida.Vipaji vinalipa sana ni vile kwa huku kwetu tunavichukulia poa sana.
Hakuna kazi ngumu kama kubadilisha ulichosoma kiwe pesa. Hali ni ngumu mno kwa wengi.Vijana wengi tena wadogo waliosoma hawana ajira au kipato cha kueleweka wengi wao wanasumbuliwa na vidonda vya tumbo au acid tumboni, sukari na pressure wengine wameingia kwenye ulevi mbaya na sugu madawa ya kulevya na kudanga. Hii ni baada ya kuja mtaani na kuona walichosoma ni kigumu sana kukiweka katika maisha ya kawaida.